Nunua au tubadilishane Gallaxys2

Nunua au tubadilishane Gallaxys2

unaama masaki na kwenda tandale ? aisee, ila iyo samsung ni kali sana, tena line 2
hapana hii ni line moja ila ni nzur sana naipenda sana hii simu tatzo ndo ilo nataka ya kusapot App ya Uber
 
hayuko tayari kubaki nayo, angeni quote from the moment nimetoa post hapo juu
niko tayar mkuu me shida yangu sio simu nyingine hata hii kama inawezekana kuifanya ika sapport hyo app niko tayar
 
mcheki Castr anafanya izo mambo , yuko kwa kopa pale mwananyamala
Hizo mambo nafanya ila siyo za kudanganya watu. Siwezi kumdanganya jamaa kua s2 itafikia version ya 6.

Actually, nilitaka nijifunze kutoka kwako juu ya kuforce install marshmallow
 
Samsung A10 mbona ndo nayoitumia kwa kaz na iko fasta kwa internet kupita maelezo.....ram kubwa ...uber gan waligoma hebu pitia website yao uone simu ambzo hawazitak A1o haipo baba
Tuwe fair. Galaxy s2 na Cx (naamini ni tecno) tecno CX ipo juu, tena sana.

S2 haina 4g. Cx inayo.

S2 ni ya zamani mno kulinganisha na cx.

S2 security features ni lower kulinganisha na cx.

Cx ina fingerprint camera kubwa, S2 haina.

Hiyo spark 3 unayoitaka ni kubwa kwa cx.

Pia bei unayouzia naomba niamini kuna uwanja wa mazungumzo maana 150K hapo unaongelea kununua S3 ambayo haina cracks na kila button ipo. Hii bei ni kwa mitaa yetu sijui wewe ulipo.

Pia ungeuliza uber simu wanayotaka maana samsung a10 na tecno la6 waliigomea
 
Samsung A10 mbona ndo nayoitumia kwa kaz na iko fasta kwa internet kupita maelezo.....ram kubwa ...uber gan waligoma hebu pitia website yao uone simu ambzo hawazitak A1o haipo baba
Boss nilikua na Samsung A10 niliambiwa haitakiwi inatoa rates kubwa.
 
Back
Top Bottom