Nunua au tubadilishane Gallaxys2

Nunua au tubadilishane Gallaxys2

baraka bb

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2016
Posts
2,690
Reaction score
3,903
Habari wakuu,
Nauza Samsung Galaxy s2 au niko tayar kubadilishana na Tecno K7 au Spark3,, sababu ya kuuza au kutaka kubadilishana mm nafanya kazi ya Uber so hii simu imekataa uber driver App.
Bei nauza ni 150,000/ pungufu unaongea niko Dar Kimala
IMG-20190729-WA0005.jpeg
IMG-20190729-WA0004.jpeg
IMG-20190729-WA0006.jpeg
 
Attachments

  • IMG-20190729-WA0003.jpeg
    IMG-20190729-WA0003.jpeg
    76.1 KB · Views: 23
Tuwe fair. Galaxy s2 na Cx (naamini ni tecno) tecno CX ipo juu, tena sana.

S2 haina 4g. Cx inayo.

S2 ni ya zamani mno kulinganisha na cx.

S2 security features ni lower kulinganisha na cx.

Cx ina fingerprint camera kubwa, S2 haina.

Hiyo spark 3 unayoitaka ni kubwa kwa cx.

Pia bei unayouzia naomba niamini kuna uwanja wa mazungumzo maana 150K hapo unaongelea kununua S3 ambayo haina cracks na kila button ipo. Hii bei ni kwa mitaa yetu sijui wewe ulipo.

Pia ungeuliza uber simu wanayotaka maana samsung a10 na tecno la6 waliigomea
 
waliniambia ni simu yenye version kuanzia 6 mkuu

ikoje hyo ntumie pcha yake niione

Mkuu nimeghaili.
 
waliniambia ni simu yenye version kuanzia 6 mkuu
Ni sawa. Sasa S2 hata ukiupdate inaishia 4.

Jaribu kutafuta tecno s1 zile za tigo ni bei cheap halafu version yake inaanzia 6. Hiyo ukimkuta nayo mtu ukimwambia mbadilishane na s2 anaweza (siyo given) akakuelewa.
 
aah sawa kiongozi hawa Uber nao mapepe sana,,yaan wamenipa had kipeperush simu zinazoitajika kufanya Uber driver
Ni sawa. Sasa S2 hata ukiupdate inaishia 4.

Jaribu kutafuta tecno s1 zile za tigo ni bei cheap halafu version yake inaanzia 6. Hiyo ukimkuta nayo mtu ukimwambia mbadilishane na s2 anaweza (siyo given) akakuelewa.
 
unaama masaki na kwenda tandale ? aisee, ila iyo samsung ni kali sana, tena line 2
 
ni kwakua inatumia OS ya Jellybean (4.3) ambayo ni ya kitambo, Uber app inataka walau Marshmallow kwenda juu, uki upgrade OS itakubali
Galaxy s2 ifikie marshmallow? Bob haupo sirias
 
Back
Top Bottom