Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
SIku moja Nunda alikuwa kiacheza mpira na wenzake katika uwanja ulio kando ya mji kidogo mara akaliona gari la baba yake likipita pembeni ndani akiwemo baba yake na dada wa kazi wakielekea sehemu ambayo hakuna njia ni machaka tu ,Nunda akaamua kulifuatilia kwani lilikoelekea hakuna njia hivyo litakuwa haliendi mbali.
Kwa uangalifu Nunda alinyatianyatia na kuona baba yake na dada wa kazi wakibusiana ,Nunda alivutiwa na yaliyokuwa yakiendelea akiyatizama kwa ueledi kwani atapata story nzuri ya kumhadithia mama yake.
Nunda : mama mama ! nilikuwa kwenye uwanja wa mpira nikamuona baba na da !
mama yake akamkatisha...Hebu tulia mwanangu huku akionyesha shauku ya kutaka kuisikiliza habari !
Nunda ; Nilikuwa nacheza mpira nikaiona gari ya baba na ndani yake yumo dada wa kazi ,wakielekea kwenye vichaka nikaenda kuangalia nikaona baba anampa dada wa kazi bonge la kissi kisha akamsaidia dada wa kazi kuvua kiblauzi chake na dada wa kazi nae akamsaidia baba kuvua bukta yake ,kisha dada wa kazi akalala kwenye siti ,halafu baba ...!
Mama akamkatisha akamwambia subiri habari yako ni ya kuvutia sana ngoja tukinywa chai ya usiku na baba yako utatumalizia nataka kumuona baba yako atauweka wapi uso wake !
Aloo ilipofika wakati wa kunywa chai ya usiku,mama akakumbushia ,!
Mama : Enhee Nunda ,tuelezee ile hadithi yako nzuri mwanangu !!
Nunda : Nilikuwa nacheza mpira nikaiona gari ya baba na ndani yake yumo dada wa kazi ,wakielekea kwenye vichaka nikaenda kuangalia nikaona baba anampa dada wa kazi bonge la kissi kisha akamsaidia dada wa kazi kuvua kiblauzi chake na dada wa kazi nae akamsaidia baba kuvua bukta yake ,kisha dada wa kazi akalala kwenye siti .
Halafu baba na dada wa kazi wakafanya kama vile wewe ulivyofanya na mwenye duka wakati baba akiwa jeshini:happy: