Nunda (11) ,Nunda mazoezini !!!

Nunda (11) ,Nunda mazoezini !!!

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Nunda akiwa kwenye uwanja wa mazoezi ya mpira wa miiguu pamoja na wanafunzi wengine wakiongozwa na kocha wao wa mchezo huo.

Kocha : Kuna mcheza yeyote anaweza kuruka juu zaidi ya goalpost ?

Ghafula Nunda akasema yeye anaweza kuruka.

Kocha ; Wewe ni mwanafunzi mvivu kabisa na mchezaji mbovu kabisa katika mpira ?

Nunda ; Najua na kujielewa hivyo ila goalpost haziwezi kuruka kwa hilo nitazishinda tu kochah :becky:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom