Wanakumbukwa, chadema bado ina languish kwenye mabavu ya CCM.Nikikumbuka Miaka ya Nyuma Kipindi cha CDM ipo HoT sana Kule Arusha,Mwanza Vijana Walijitokeza Kupigania Chama wakidhani Kitawakomboa Mwisho wa Siku walipigwa Risasi na Wengine Kupata Majeraha ya Maisha
Leo Hii Hakuna Anayewakumbuka.
LIVE YOUR LIFE... Basi USIMPIGANIE MTU MWINGINE
Mimi nimeambulia kuelewa picha tuMkuu umekwiva kwenye kusuka codes hapa nimetoka kappah😒
Kwamba Kikwete kafa na kuzikwa ni baada ya uapisho wa mama AbdulUzush inahusi Nini
Ni njia ya kuwatoa wadanganyika kwenye reli ama?
Je ni namna ya kuepusha mijadala HOT ama kuna ihalisia?
Kwenye vipindi kama hivi.. Timu maalum za kueneza uzushi kiufundi sana huwa active sana.. Na sometimes malipo yake huwa mazuri sana!
Je ni wangapi ambao DOB na DOD hufanana ama hukaribiana kama sio kushabihiana?View attachment 3486104
Ana kuuliza 29.oct. vipii?
Siwapingi siwakubalii ila haiingii akilini.Kwamba Kikwete kafa na kuzikwa ni baada ya uapisho wa mama Abdul
Mbona umepanic sana!?....kila mtu anajipigania mwenyeweNikikumbuka Miaka ya Nyuma Kipindi cha CDM ipo HoT sana Kule Arusha,Mwanza Vijana Walijitokeza Kupigania Chama wakidhani Kitawakomboa Mwisho wa Siku walipigwa Risasi na Wengine Kupata Majeraha ya Maisha
Leo Hii Hakuna Anayewakumbuka.
LIVE YOUR LIFE... Basi USIMPIGANIE MTU MWINGINE
Ni njia ya kuwatoa wadanganyika kwenye reli ama?
Je ni namna ya kuepusha mijadala HOT ama kuna ihalisia?
Kwenye vipindi kama hivi.. Timu maalum za kueneza uzushi kiufundi sana huwa active sana.. Na sometimes malipo yake huwa mazuri sana!
Je ni wangapi ambao DOB na DOD hufanana ama hukaribiana kama sio kushabihiana?