Number 5 kunani?

unatetea ulaji wako, ni haki yako
 
Aliye elewa naomba anieleweshe
P
 
Hizi ni propaganda mfu za misukule ya kibibi Samia.
 

Kwani Chadema hawafi... Au unatka afe nani ndiyo uju nao wanakufa kwa design hiyo hiyo!!
 
Mkuu hii ''habari'' ipo nadhani tangu juzi mpaka nikajiuliza kulikoni? Leo nilikuwa nasikitika (ama kushangaa labda) nilipoona picha za marais wote waliotangua, kasoro Nyerere. Wote wametangulia mbele ya haki, kasoro mmoja. Halafu sasa... wamefariki kwa mpangilio kama walivyokuwa wamejipanga kwenye picha. Klichonishangaza ni watu wanaombea yule alibaki naye aondoke..... nikajiuliza hii chuki... hii... ya wananchi kwa viongozi mbona iko juu sana na wahusika hawajali?
 
Ogopa Mano dua la maskini na asiye na nguvu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…