Nukuu ya Siku: Hivi unajua mshahara unaopata ni rushwa unapewa?

Huwezi Kufanyia Kazi Serikali Za Afrika Ukategemea Utatumia Akili Yako.
Ukikubali Kufanya Kazi, Tegemea Kutekeleza Maagizo Tu.
Sasa kumbe unakubali ukiajiriwa hufanyii kazi ndoto zako bali za aliyekuajiri?
 
Analipwa Na Wanahisa.

Maana Yeye Anamiliki 16% Tu Ya Amazon.

Tena Bado Anapunguza Kwa Kuziuza Mara Kwa Mara Kwaajili Ya Ku-fund Blue Origin
Jeff owns 78.88 million shares of Amazon

ANYWAY!!! 16% ownership & some ridiculous stock options has this man worth $136.2 BILLION with a “B” ....BILLION.
.
Chakukushangaza tena
He is also on the Advisory board for the pentagon. Which he has a 10billion dollar contract for the Jedi cloud program... 🤔👀
.
Hata zile hisa walizosema atagawana na mke wake 50/50 haijawa hivyo

Watch Jeff
 
Je ni watanzania wangapi wana fursa kama hiyo uliyonayo kwenye ajira zao?

Mwalimu, naomba nisiwasemee watanzania wenzangu wengine. Mimi nimeikubali hii rushwa.. Ambae hapendi hii rushwa apaambanie ndoto zake kwa style nyingine (kama unavyofanya wewe) ili mwisho wa siku maisha yasonge mbele na taifa liende kwa ujumla wake.
 
1581780902873.png
 
Hongera sana kwa ushauri na kulitambua hilo. Tatizo ni moja tu mawazo yako umeyapeleka juu saaaana kuliko kiwango cha sana jamii forums. Unafikiri wanakuelewa unachosema? Hawawezi hata kidogo ndio maana wanakwambia kwa kuajiriwa tayari wametimiza ndoto zao. Wengine ndoto hata hawana. Mimi nimekuelewa kuliko maelezo. Usishushe akili yako kisa ili muendane.
"Ndiyo, mshahara unaopokea ni rushwa ambayo mwajiri wako anakupa wewe, ili uzisahau ndoto zako na kufanyia kazi ndoto zake.

Ndiyo maana utakuwa umejionea mwenyewe, wakati unaanza ajira ulikuwa na mipango mingi, lakini kadiri siku zinavyokwenda mipango hiyo inayoyoma na unahesabu siku kufikia mshahara.


Umetoka kwenye ndoto zako kubwa na kubaki kwenye uwakala wa fedha zako, unapokea mshahara, unalipa madeni, halafu unaanza kukopa tena. Kila mwezi hali hiyo inajirudia."


Imeandikwa na: Makirita Amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana kwa ushauri na kulitambua hilo. Tatizo ni moja tu mawazo yako umeyapeleka juu saaaana kuliko kiwango cha sana jamii forums. Unafikiri wanakuelewa unachosema? Hawawezi hata kidogo ndio maana wanakwambia kwa kuajiriwa tayari wametimiza ndoto zao. Wengine ndoto hata hawana. Mimi nimekuelewa kuliko maelezo. Usishushe akili yako kisa ili muendane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima kila mtu awe mjasiriamali

wapo wanaopokea mishahara na wanaishi vizuri kuliko wajasiriamali
 
Back
Top Bottom