NUKUU YA LEO: Ni ujinga. . . .

Hayakuhuuu........jali ya YNNAH if at all hajakupiga chini ( which is inevitable tokana na ubahili wako.... mwanaume gani huongi?)

Niapie? HakyaMungu na Mtume vile ! Yaani Yesu Kristo , mie nahongaga!
Kwa nini umenivunjia adabu namna hii, eti mi sihongagi? Kaulize fesibuku, twita, wakwambie nnavyohongaga! Leo tu usubui shemeji yangu Madame B nimemtumia vocha za Jiti 3 mbili.
 
Last edited by a moderator:

We Shem gani muongo hivo Bishanga,....... Shem Judgement muongo, hajanitumia Jiti wala tawi.
Mi nakwambia mdogo wangu YNNAH sijui kapenda nini kwako, mwanaume hata hujui kutupa hela sie mashemeji zako.
Ahhhhhhhhhhhh..............!!!!!!!!!!!!!

Na mwaka huu nawaachanisha....
 
Last edited by a moderator:
Mbupupu sidhani kama kuna haja ya kufahamu, kwani humu watu wote ni sawa, sishangai kesho na kesho kutwa mtakuja anza watenga wanawake!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Shemeji ukifanikiwa kutuachanisha unadhani m'baya wangu utakua wewe?
Hutokua wewe aslan!
Mchawi wangu ni Arushaone! Ananiendea kwa wataalamu kibao kuniroga nife, amchukue YNNAH!
Hilo unalijua?
Incase utabahatika kua nae karibu huyo Mswati hebu mcheki, anatembea na hirizi imezungushwa kwenye parachichi zake!
Hiyo yote ni kunishughulikia mie.
So far nimeanza kuhisi nguvu zake za giza zinapitia kwako.
 
Last edited by a moderator:

Akhhaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
Mie Arushaone nilishaachana nae kitambo saaaaaaaaana.
Ila huwa ananipigia misele ili nimrudie.
na jana kajidai kunitoa out, nilikubali lakini hali halisi anaijua.......

Akhhaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
Mie Arushaone nilishaachana nae kitambo saaaaaaaaana.
Ila huwa ananipigia misele ili nimrudie.
na jana kajidai kunitoa out, nilikubali lakini hali halisi anaijua.......

Nimeona!
Hilo gepu liliopo katikati yenu ! Si ni hata gari ingeweza kupita bila kuwagusa!
Nway Shem , lisemwalo ..... (utajijibu mwenyewe)
Kuna rumanz kwamba Mswati anakubandua kwa siri sana!
Unaliizungumziaje hilo?
 
Judgement nausoma mwandiko wako hapo juu. Tafsiri yake ni woga na kushindwa kujiamini mpaka unampa shemejio@Madame B lawama. Unataka nikupe uongee na YNNAH sasa hivi? Niko naye hapa twawapitia Mr Rocky na Mamndenyi then tuwapitie kina Bishanga

Ingekua leo ni siku ya kazi, kidoogo ningestuka!
Bt leo ni J'2 ! Ukishaamka toka usingizini ndy utajua ulikua unaota!
 
Last edited by a moderator:
Nimeona!
Hilo gepu liliopo katikati yenu ! Si ni hata gari ingeweza kupita bila kuwagusa!

.. Yaani Shem....... Kila siku nakuta msg zake getini kwetu.
Chezea mimi.
Si aliniletea Pouzzzzzzzzzzz, .................. sasa anakula za Uso.

Ujinga pia ni pale unapoenda dukani kununua sumu halafu unadai chenchi....

Ujinga zaidi ni pale unapopata chai nzito na supu ya haja wakati mchana unaenda kujitundika kwenye mti..
 
.. Yaani Shem....... Kila siku nakuta msg zake getini kwetu.
Chezea mimi.
Si aliniletea Pouzzzzzzzzzzz, .................. sasa anakula za Uso.

Mh Madame B.. Weka ile picha nyingine.. Ile inayoonyesha wewe ukiwa unalia.. Baada ya kula za ugoko toka kwake..
 
Last edited by a moderator:
Mahela ya tajiri la kihaya yanawapagaisha

Ha ha The secretary.. Sema yanakupagawisha wewe.. Ciku ile unayomtafuta alikuwa kwenye gesti moja iko Mchambawima huko.. inaitwa Jiulize gesti hauzi.. Shoti taimu jero tu..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…