Nukuu ya Heche John

Nukuu ya Heche John

Mbona umri wako hauendani na unachoandika?are you mentally fit???or unaendeleza siasa za kujikomba!

- AT least najikomba kwa watawala kuliko the sideliners kama vipi, ha! ha! ha! ha!, kazi kufukuzana tu chama cha ubabe na matusi, hamtakuja kupata kura za wanawake hata siku moja ambao ndio hasa wapiga kura kila mnalofanya mnapogombana is good kwetu CCM

le mutuz

le mutuz
 
JULIANA aka SILIMU SASA UKIMWI NI HATARI SANA, YEYE NA WENZIE WALIKUWA WANAKATA TAWI SOTE TULOKALIA ULITEGEMEA NINI KIFANYIKE? KUWACHAPISHA LAPA, THATS ALL
juliana na wengine wamefukuzwa mbona yule kingmaker mwenyewe kaachwa?fagio lilitakiwa lipite kwa wote
 
- AT least najikomba kwa watawala kuliko the sideliners kama vipi, ha! ha! ha! ha!, kazi kufukuzana tu chama cha ubabe na matusi, hamtakuja kupata kura za wanawake hata siku moja ambao ndio hasa wapiga kura kila mnalofanya mnapogombana is good kwetu CCM

le mutuz

le mutuz

Daaah! kura za nani!??? Mungu tusaidie taifa hili
 
- AT least najikomba kwa watawala kuliko the sideliners kama vipi, ha! ha! ha! ha!, kazi kufukuzana tu chama cha ubabe na matusi, hamtakuja kupata kura za wanawake hata siku moja ambao ndio hasa wapiga kura kila mnalofanya mnapogombana is good kwetu CCM

le mutuz

le mutuz

Are you a great thinker?baba zima huoni hata aibu unakidhalilisha chama chako,,yaan wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa familia yako..
 
kulikoni CCM wanaonekana kuwa "disappointed" na maamuzi haya ya Bavicha?

CCM walitaka iweje?
 
Hii nukuu haikupaswa kuwa nukuu miongoni mwa nukuu za wanaharakati au waleta mapinduzi inabidi irudi kwa author for review and editing inaonekana ni jazba zaidi sababu nchi yenyewe hawezi kupewa yeye kutokana na muundo wa chama ulivyo yeye yuko mbali na wasaliti ni sehemu ya game na hauwezi, kutuhumu, kushitaki na kuhukumu wewe huyo huyo kwa kauli hiyo ni kinyume kabisa na mfumo wa kutenda haki.

Hata kama umewaona basi unavuta subira kidogo na kuacha mfumo wa kushitaki na kuhukumu kufanya kazi. Julius Malema mbona macomrade walijipa muda wa kutosha kabla ya kutoa hukumu.
 
- AT least najikomba kwa watawala kuliko the sideliners kama vipi, ha! ha! ha! ha!, kazi kufukuzana tu chama cha ubabe na matusi, hamtakuja kupata kura za wanawake hata siku moja ambao ndio hasa wapiga kura kila mnalofanya mnapogombana is good kwetu CCM

le mutuz

le mutuz

Wanawake kama wewe au mimi? Usitusemee kabisaaaa
 
am a woman and will vote for CDM 2015 who are you to speak on our behalf are you a woman??
- AT least najikomba kwa watawala kuliko the sideliners kama vipi, ha! ha! ha! ha!, kazi kufukuzana tu chama cha ubabe na matusi, hamtakuja kupata kura za wanawake hata siku moja ambao ndio hasa wapiga kura kila mnalofanya mnapogombana is good kwetu CCM

le mutuz

le mutuz
 
refer the bold part: somehow it shows you are a woman from manzese or mwananyamala sorry for questioning your gender
- ha! ha! ha! ha! this is wasap mnalo mwaka huu, ikiisha ya Bavicha inakuja ya Kiongozi wenu aliyetaka kumbaka mwanamke London, yaani niye mpaka kieleweke tu!! ha! ha! ha!

Mkuu wamewafukuza nani na nani? sijapata inshu nzima tafadhali
 
- ha! ha! ha! ha! this is wasap mnalo mwaka huu, ikiisha ya Bavicha inakuja ya Kiongozi wenu aliyetaka kumbaka mwanamke London, yaani niye mpaka kieleweke tu!! ha! ha! ha!

le mutuz
Hivi huyu nae aliomba ridhaa ya kuwa mbunge wa EA????
 
Mbona umri wako hauendani na unachoandika?are you mentally fit???or unaendeleza siasa za kujikomba!

Huyu jamaa upstairs hamna kitu! Anabebwa na baba yake tu! We jiulize, kakaa ulaya aka 30 bado ana maisha ya kijinga hivyo, na ni mtoto wa kigogo! Anajikomba tu huyu kwenye siasa!
 
Huyo heche hana lolote yupo kwa maslahi ya dr slaa na maslahi yake binafsi ndio mana analipwa pesa nje ya katiba pia yuko tayari kwa lolote juu ya anae kwenda kinyume na babu slaa akidhani slaa ni malaika hana makosa
 
Back
Top Bottom