Nukuu ya Heche John

Nukuu ya Heche John

Kuwajibika maana yake nini? Neno hili linatoholewa kutoka kwenye misingi utawala bora. Heche anaposema "tusipowajibishana wenyewe kwa wenyewe ana maanisha tusipofukuzana wenyewe kwa wenyewe, jambo ambalo ni upotofu wa dhana ya utawala bora. Lakini pia mtu anapotoa majibu kwa matendo/ makosa yake si lazima afukuzwe chama au kazi ili chama kionekane mbele ya jamii kuwa kinataka mabadiliko. Sidhani kama kona adhabu moja kwa kila kosa. Tukifanya hivyo tutakuwa wavivu wa kufikiri kwa kutoa jibu moja kwa kila swali.

asungwilemwaifunga


BAVICHA wameonyesha ukomavu katika uongozi. Mtu akifanya kosa na asipowajibishwa kuna hatari ya kuendelea kutenda kosa na wengine watarudia kosa hilo hilo.

Vijana wameonyesha ukomavu na kujitofautisha na vijana wa UV-CCM ambao wanakumbatiana katika kulea uozo kwa sbabu za kujuana. UV-CCM kumekuwa na mikataba hewa ambayo haina tofauti na wanayofanya wazazi wao katika kuliangamiza Taifa. Lakini wanaleana na wachache wananufaika wengine wanabakia kupiga makelele ( KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI......)

Nawapongeza sana BAVICHA kwa hatua waliyofikia na nawaomba Uongozi wa CDM Taifa waige mfano huo pasipo kumuangalia mtu usoni kwa masilahi ya Chama na Taifa Tanzania.

PEOPLE'S POWER FOREVER............



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Last edited by a moderator:
Katati tendaj ya bavicha sio vichaa nimakanda walio jitoa hivyo ndani yao kukiwa na wasaliti nilazima wawaone na wawachuje mara moja kwa manufaa ya wa tanzania wote wanao iamini chadema kua ndio mkomboz.huyv shonza ningebahatika kumuona ningemtemea japo mate usoni anaonekana anamajivuno sanaa na anatabia ya kujiona msomi mwanaume atakae muoa anashughuli nzito sanaa
 
Mbaba, mbabu?miaka 51 ni mbabu bana!

Naona utakuwa 'umegeuza' umri wa huyo jamaa !!
Ni miaka 15, na sio 51.
Maana ukisoma hoja zake anazoandika ndio utajua kuwa umri wake ndio huo wa miaka 15, (sio 51) !!!!
 
Naona utakuwa 'umegeuza' umri wa huyo jamaa !!
Ni miaka 15, na sio 51.
Maana ukisoma hoja zake anazoandika ndio utajua kuwa umri wake ndio huo wa miaka 15, (sio 51) !!!!
Mkuu sijakosea,nilichokiandika ni sahihi kabisa to the best of my knowledge!sema mizee mingi ya siku hizi ni mijinga sana!
 
Back
Top Bottom