mishahara ya 3.5ml/= huku watanzania wanateseka kwa kukosa panadol,hata huruma hatuna
Nimekwambia hufai unajua wanasiasa wanakula ngapi kwa mwezi hasa wabunge
mishahara ya 3.5ml/= huku watanzania wanateseka kwa kukosa panadol,hata huruma hatuna
Wagonjwa wanateseka hatab leo hii ambapo hakuna mgomo na walikuwa wakiteseka hata kabla ya Dr.Uli kutekwa!
Kwa sasa DCI Manumba yuko ICU anateseka akiwa na vijidudu 500 vya Malaria! Je, Dr.Uli na watumishi wengine wa afya wanahusikanaje hapa????
Hoja yangu ni kwamba mgomo wa Madaktari haukuhusika na mateso ya wagonjwa baali kile kilichokuwa kikipiganiwa na hao Madaktari ndiyo kingeliondoa mateso kwa wagonjwa. Bila vitendea kazi bora na muhimu afya ya Mtanzania siku zote iko rehani. Kama hakuna maabara zenye kupima ugonjwa husika kwa uhakika ni kazi bure. Kama hakuna CT-scan, hakuna X-rays machine, hakuna Ultra Sound, hakuna Stesoscape, hakuna Madawa muhimu kumlaumu daktari ni kazi bure.
Serikali ilikosea sana kutaka kuzima mgogoro huu wa Madaktari kwa nguvu ilhali walikuwa na hoja za msingi.
Tafakari.
Nimekwambia hufai unajua wanasiasa wanakula ngapi kwa mwezi hasa wabunge
Ukiona hivyo, hiyo ni kazi ya TISS, kwa kuwa mtuhumiwa no. 1 wa kadhia ya kutekwa na kuteswa kwa Dr Ulimboka, ni Ramadhani Ighondu ambaye ni mwajiriwa wa TISS!! Kwa hiyo huo ni mkakati mahsusi wa kitengo hicho cha UWT kutaka kuizima hiyo mada hapa jamvini. Lakini hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, wacha vyombo vyote vya dola vifanye kila inaloliweza kuficha ukweli wa jambo hili, lakini ipo siku, ambayo Mungu peke yake ndiye anayeijua kikamilifu, ukweli wote utajulikana,na wote waliohusika na unyama wa kumteka na kumtesa Dr Ulimboka, wataburuzwa mahakamani kujibu mashtaka yao ya unyama waliomfanyia Ulimboka, na siku hiyo haiko mbali sana kutoka sasa!!!Magamba yamevamia huu uzi.
wagonjwa zaidi ya mia tatu 300 walikufa kwa kukosa huduma za madaktari waliokuwa ktk mgomo wa kijinga
Ukiona hivyo, hiyo ni kazi ya TISS, kwa kuwa mtuhumiwa no. 1 wa kadhia ya kutekwa na kuteswa kwa Dr Ulimboka, ni Ramadhani Ighondu ambaye ni mwajiriwa wa TISS!! Kwa hiyo huo ni mkakati mahsusi wa kitengo hicho cha UWT kutaka kuizima hiyo mada hapa jamvini. Lakini hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, wacha vyombo vyote vya dola vifanye kila inaloliweza kuficha ukweli wa jambo hili, lakini ipo siku, ambayo Mungu peke yake ndiye anayeijua kikamilifu, ukweli wote utajulikana,na wote waliohusika na unyama wa kumteka na kumtesa Dr Ulimboka, wataburuzwa mahakamani kujibu mashtaka yao ya unyama waliomfanyia Ulimboka, na siku hiyo haiko mbali sana kutoka sasa!!!
Na maelfu ya wagonjwa wanakufa wkt huu ambao mnaamini Madr hawajagoma, kwa kukosa morali, na pia ukosefu wa dawa, vifaa tiba na mazingira magum ya kutibiwa.
Halafu kipumbavu, watu wanachekelea kuwa mgomo uliisha!
Kazi kweli kweli, inaelekea hivi sasa serikali nzima inaweweseka! maana ukizisoma hizi comments za akina osama, utakumbuka ule msemo unaosema, mfa maji haishi kutapatapa!!wanapata dhambi kwa kuacha watu wafe huku wanapokea mishahara inayotokana na kodi za hao wanaokufa
We unajua madokta wangapi sasa wanapiga part time kwenye hospital binafsi? Hivi wangelipwa mshahara wanaotaka unadhani isinge washawishi kutumika katika hosp za serikali mwanzo mwisho?
Chukulia mfano wewe kama Nape hajakupa posho yako leo utakubali?
so wewe unaona alivyofanyiwa ulimboka ni mzuka sana au?
money is not a satisfying factor, kama una tamaa ya mzee fisi hata kama upewe gunia mia za noti utabaki kuwa fisi tu..
katika watumishi wa umma wa tanzania, ni madaktari ndio wanaolipwa mshahara mkubwa kuliko wote.
Daktari anayeanza kazi analipwa milioni moja na laki mbili 1,200,000/=.
chukua mfano wewe unaelipwa na mnyika huo mshahara wa sasa halafu ugome, kazi si itaharibika hapa jf???