Nukuu ya DR.Ulimboka

Nukuu ya DR.Ulimboka

mishahara ya 3.5ml/= huku watanzania wanateseka kwa kukosa panadol,hata huruma hatuna

Mbona hulalamikii mamilioni wanayojilipa waume zako kule bungeni?,hizo milioni 3.5 ndio umeona ni issue,hivi hujiulizi kama nchi hii ingekuwa na huduma bora wangejitengea mabilioni kwenda kutibiwa flu ulaya?,usiwe pungu wewe unatetea tu,ninyi ndio ambao ata CCM ikimsimamisha mbwa kuwa kiongozi mnamchagua badala ya mtu wa upinzani.
 
wagonjwa zaidi ya mia tatu 300 walikufa kwa kukosa huduma za madaktari waliokuwa ktk mgomo wa kijinga

Mkuu osamamtanzania kwa taarifa tu ni kwamba madaktari na waalim wa Tanzania bado wako katika mgomo!!!! Ili upate huduma nzuri Muhimbili ni lazima uwe na refa!!! Ni hali halisi iliyopo kwa kuwa madai yao hayakusikilizwa na kupatiwa japo nusu solution. Matokeo yake walilazimika kurudi kazini kwa vitisho but hakuna compromise ilifikiwa!!! Impact yake tunaipata wale ambao sisi na ndugu zetu tunapata huduma kupitia hospitali za umma!!! Chunguza sana!!
 
mtu anayeshabikia migomo ya huduma za jamii ni msaliti wa damu ya watanzania
 
hv hata marehemu Sajuki (Mungu amrehemu huko alipo) alishindwa kutibiwa kutokana na kukosekana vifaa, hao kina lowasa kila siku wanatibiwa nje! Kama wanajali kwanin wasiende MNH?
 
Mkuu malaka, acha kutoa vitisho, hapa kila mtu anachangia kutokana na alivoguswa na hili sakata, mimi dada yangu alikufa na mtoto tumboni kwa kukosa kuhudumiwa na madaktari. Inasikitisha sana. Wewe unashabikia ujinga kwa kuwa hujaguswa
 
binafsi nawashauri madaktari watupatie huduma stahiki sisi wagonjwa tunapoenda hospitali, hakuna asiyejua madai yao kutoka mwenyekiti wa mtaa hadi rais, kwa sababu tayari walishayaonyesha na wameshafika hadi ikulu na tumeona matamko mengi ya viongozi wa kitaifa, wizara na hata wabunge wakilia kuhusu uboreshaji wa huduma na mazingira ya utoaji huduma. si jambo la busara kuendelea kung'ang'ania na kushabikia suala la mgomo leo. huu ni uwendawazimu uliopituka na kamwe kwa jamii iliyostaarabika si kitendo cha kiungwana hata siku moja
 
Mkuu osamamtanzania kwa taarifa tu ni kwamba madaktari na waalim wa Tanzania bado wako katika mgomo!!!! Ili upate huduma nzuri Muhimbili ni lazima uwe na refa!!! Ni hali halisi iliyopo kwa kuwa madai yao hayakusikilizwa na kupatiwa japo nusu solution. Matokeo yake walilazimika kurudi kazini kwa vitisho but hakuna compromise ilifikiwa!!! Impact yake tunaipata wale ambao sisi na ndugu zetu tunapata huduma kupitia hospitali za umma!!! Chunguza sana!!

naunga mkono hoja lakini mkuu kumbuka madaktari wetu siku hizi wanaangalia maslahi zaidi kuliko utu. kama anaweza kumhudumia mgonjwa anayemfahamu, kwann asimhudumie asiyemfahamu????? huu ni ubaguzi na kukosa huruma na zaidi si ubinadamu.
 
Mbona hulalamikii mamilioni wanayojilipa waume zako kule bungeni?,hizo milioni 3.5 ndio umeona ni issue,hivi hujiulizi kama nchi hii ingekuwa na huduma bora wangejitengea mabilioni kwenda kutibiwa flu ulaya?,usiwe pungu wewe unatetea tu,ninyi ndio ambao ata CCM ikimsimamisha mbwa kuwa kiongozi mnamchagua badala ya mtu wa upinzani.

sina mda mchafu wa kujibizana na mtu anayetumia kichwa kufugia nywele tuuu na anayetumia kiungo mbadala kufikiria.
 
mkuu hapo kwenye red hiyo lugha si ya kistaarabu. nawaomba mods wakushughulikie pengine utastaarabika
 
Mbona hulalamikii mamilioni wanayojilipa waume zako kule bungeni?,hizo milioni 3.5 ndio umeona ni issue,hivi hujiulizi kama nchi hii ingekuwa na huduma bora wangejitengea mabilioni kwenda kutibiwa flu ulaya?,usiwe pungu wewe unatetea tu,ninyi ndio ambao ata CCM ikimsimamisha mbwa kuwa kiongozi mnamchagua badala ya mtu wa upinzani.

mods tunaomba mkomeshe matumizi ya matusi hapa jukwaani, huyu anayejiita kipigi sijui pig hastahili kuwepo hapa.si mstaarabu
 
vijana jengeni hoja, lumbaneni kwa hoja, bishaneni kwa hoja sio kwa vioja, naona jukwaa linaanza kukosa hadhi yake, mtu anajiita GT mara kipigi halafu anatukana, hii si haki wala si akili
 
Mbona hulalamikii mamilioni wanayojilipa waume zako kule bungeni?,hizo milioni 3.5 ndio umeona ni issue,hivi hujiulizi kama nchi hii ingekuwa na huduma bora wangejitengea mabilioni kwenda kutibiwa flu ulaya?,usiwe pungu wewe unatetea tu,ninyi ndio ambao ata CCM ikimsimamisha mbwa kuwa kiongozi mnamchagua badala ya mtu wa upinzani.

lugha ya matusi hapa si mahala pake na hili si jukwaa la matusi bali ni jukwaa la hoja
 
Hakuna mgomo lakin watu wanakufa kwa tetanus, hakuna chanjo ya tetanus nchi nzima yapata miez 3 sasa
 
unajadili nini ccm out hamna mjadala hawa jamaa hawajaanza kwa Ulimboka piga piga chini hawa 2015
 
watu waliokuwa wanapokea mishahara iliyotokana na kodi za watanzania halafu wanagoma kuwahudumia ni wasaliti na ni wauaji wakubwa

Utakuwa na matatizo ya akili mtu anayegombea wewe mgonjwa ukiumwa uweze kupata huduma bora unamuona hafai kweli mwendawazimu si lazima atembee uchi bali maneno yake utamjua tu.
 
sina mda mchafu wa kujibizana na mtu anayetumia kichwa kufugia nywele tuuu na anayetumia kiungo mbadala kufikiria.

Huwezi jua machungu wanayopata wenzako wakiwa kazini,hasa pale unapomshuhudia mgonjwa anakata roho mbele yako unashindwa kumuokoa kwa kukosa oxygen na vifaa vingine,nenda mikoani huone mgonjwa anaambiwa akafanye utrasound au X-ray mission km kadhaa kutoka mkoani,pale iliharibika siku nyingi,alafu wewe unaandika ujinga hapa,sasa mgomo si umeisha walete hivyo vifaa sasa wanasubiri nini?,wakina mama wanalala watatuwatatu labour(sijui unapajua),acha zako ww.
 
tujadili na wagonjwa walioteseka kwa kukosa matibabu wakati madaktari wamegoma
sisi wote sio mbumbu wa akili kama unavyodhani, nia yako hapa ni ku-diverge mjadala kutoka kwenye mada husika. Kama ni kufa hata sasa wananchi wenye kipato cha chini bado wanakufa sababu dawa muhimu kwao hazipo, vipimo wanategemea utabiri wa madaktari wetu. Viongozi/wakubwa hata mafua tu India!
 
Back
Top Bottom