Nukuu ya Dkt. Bashiru: "Madalali wa mali za Umma hawawezi kupendezwa na kuhojiwa"


Hela gani? Kama ameiba si apelekwe mahakamani? Vinginevyo ni umbea Kama umbea mwingine.
Hakuna nyeti yoyote hapo zaidi ya fitna zetu za kutaka kutawala kwa hila na janja. Ni kama hili la bandari na kusingizia eti dini fulani ndio inapinga mkataba.
Dr. Bashiru na wenzake wanawaaibisha watu hao wenye kutumia dini Kama ndio sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…