Simbamwene
JF-Expert Member
- Jun 22, 2008
- 286
- 58
Naomba tutambue hajazungumza hayo kama Mkuchika ila kama Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Sasa kama Chama kimemtuma aseme hayo basi Wana busanda watajibu, ila kama yupo kule kama Waziri, ni kosa kubwa sana na Tume ya Uchaguzi (NEC) inatakiwa ichukue hatua kwa sababu Warioba alipoteza ubunge kwa kutotenganisha kampeni za chama na Wadhifa wake wa Waziri Mkuu. Hivyo Wana Busanda ni vyema wakaelewa hao Mawaziri wapo kule kama makada wa Chama (CCM).