............Nyie andikeni mnavyotaka, hata kwenye TV onyesheni, kwanza watu wa huku TV hawana kwa vile hata umeme hawana! Hizo TV zenu watazitazamia wapi. Na nyine wenye magazeti kwanza huku hayafiki na hata yakifika wananchi hawana uwezo wa kuyanunua, watasomea wapi hizo fitina zenu. Hayo mnayoandika yanabakia kuwa yenu na wamiliki wa vyombo vyenu,alifoka Mkuchika.
Huyu jamaa ni kumn'goa ubunge tu.
Hivi huyu jamaa ni mbunge wa wapi???
Tusuburi 2010, kila mmoja kivyakevyake, Hakuna kupeleka timu nzima kupigia kampeni mtu mmoja. Hakuna cha tingatinga wala baba yake tinga tinga. Hapo ndipo mchezo utakaponoga.
Mapema jana asubuhi Mkuchika aliwacharukia waandishi wa habari wanaoripoti habari za vigogo wa CCM kuzomewa. Akizungumza na waandishi wa habari katika Hoteli ya Zakaria, Mkuchika alisema CCM ina nguvu na inakubalika ila waandishi ndio wanaifitini.
Nyie andikeni mnavyotaka, hata kwenye TV onyesheni, kwanza watu wa huku TV hawana kwa vile hata umeme hawana! Hizo TV zenu watazitazamia wapi. Na nyine wenye magazeti kwanza huku hayafiki na hata yakifika wananchi hawana uwezo wa kuyanunua, watasomea wapi hizo fitina zenu. Hayo mnayoandika yanabakia kuwa yenu na wamiliki wa vyombo vyenu,alifoka Mkuchika.
.................

kutokana na umuhimu wake katika taifa letu, nimeamua kutundika hotuba iliyotolewa na Mheshimwa Mkuchika Huko Busanda kwenye kampeni za uchaguzi kwenye jimbo hilo. Ni hotuba inayohitaji tafakuri ya kina sana.hotuba hii nimeitoa kwenye gazeti la leo la Nipashe.

"Nyie andikeni mnavyotaka, hata kwenye TV onyesheni, kwanza watu wa huku TV hawana kwa vile hata umeme hawana! Hizo TV zenu watazitazamia wapi. Na nyine wenye magazeti kwanza huku hayafiki na hata yakifika wananchi hawana uwezo wa kuyanunua, watasomea wapi hizo fitina zenu. Hayo mnayoandika yanabakia kuwa yenu na wamiliki wa vyombo vyenu,"alifoka Mkuchika.
Kumbe CCM sera yao ni kudumaza watu wamaeneo fulani ili wasiwe na akili ya kujua mambo, na badala yake waipigie CCM, ndio maana nashanga miaka 48 ya uhuru Songea Umeme wa Kubabaisha, Lindi Mtwara Hivyo Hivyo, Shinyanga Tabora, Rukwa, Mwanza, Singida , Dodoma na Mlogolo ( Morogoro) Hivyo Hivyo, ili watu wasielemike usiwape umeme na barabara. Tosha, na hata Adam Lusekelo aliandika kwenye makala zake mojawapo, tafsiri ya kudumaza elimu tanzania
Hii inaitwa weapons of Mass Destruction, huji cha afya wala cha nini ni kuwa Mtumwa wa mawakala wa Pamba kwa kwenda Mbele
Nyie andikeni mnavyotaka, hata kwenye TV onyesheni, kwanza watu wa huku TV hawana kwa vile hata umeme hawana! Hizo TV zenu watazitazamia wapi. Na nyine wenye magazeti kwanza huku hayafiki na hata yakifika wananchi hawana uwezo wa kuyanunua, watasomea wapi hizo fitina zenu. Hayo mnayoandika yanabakia kuwa yenu na wamiliki wa vyombo vyenu, alifoka Mkuchika.