KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elim kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Dec 2022. Hali hii imekwenda mbali zaidi ambapo watumishi wa Umma wameshindwa kwenda likizo zao Za Mwisho wa...