Nukuu 10 za Jenerali Mabeyo

Waliokutana pamoja naye wote walikuwa viongozi wakubwa ambao wameapa kuilinda Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lakini lilipofika suala la urais wote wamesahau viapo vyao.
 
Mzee Jenerali Mabeyo Mwenyezi Mungu akujaalie afya njema, uishi maisha marefu yenye furaha.
Mzee umetimiza jukumu lako kizalendo, umeonyesha njia, vijana waige weledi na Uzalendo wako.
 
Hapo no 2 hapo kuna kitu kikubwa sana kilicho beba kifo cha jpm sema wasomaji akili hamna wala amjiulizi vp mkuu wa majeshi aseme sina mamlaka ya kutii amri ya RAIS (je mamlaka ilikuwa imeshikwa na wahaini)
 
Waliopaswa kutoa taarifa wote walikuwa Kenya kwa Uhuru Kenyata …
Waliogopa misheni yao ikibumburuka wata uliwa watu walikuwa wanatembea na pass port zao mkononi ....soma no 2 mkuu wa majeshi ana mjibu Rais sina mamlaka ya kukutii ....mnajua nini maana yake ? Je mamlaka ya mkuu wa majeshi ya kumtii rais iliondokaje tena kaandika kabisa Rais akashangaa ilo jibu ...watanzania tuwe tunatumia akili akili akili akili
 
Hapo no 2 hapo kuna kitu kikubwa sana kilicho beba kifo cha jpm sema wasomaji akili hamna wala amjiulizi vp mkuu wa majeshi aseme sina mamlaka ya kutii amri ya RAIS (je mamlaka ilikuwa imeshikwa na wahaini)
Ungekuwa wewe ndio CDF boss wako Yuko mahututi kazungukwa na ma Dr wabobezi katika hospital inayoaminika na viongozi wa serikali kwa ubora wake ungeamuru apelekwe Chato akatibiwe hospital ya mkoa?
 
Ungekuwa wewe ndio CDF boss wako Yuko mahututi kazungukwa na ma Dr wabobezi katika hospital inayoaminika na viongozi wa serikali kwa ubora wake ungeamuru apelekwe Chato akatibiwe hospital ya mkoa?
Hapo kuna tofauti ya kukataa amri na ushauri huyo cdf kakataa amri kwa mtindo alio tumia amesema hana mamlaka...sasa hapo kwenye mamlaka ndiyo kwenye shida hadi JPM akagundua kuna kitu ...swali mamlaka yalikuwa chini ya nani? Maana cdf alitakiwa tu kumkatalia kwa sababu za kimatibabu..
Pia niambie kwanini kipindi cha mwisho kuna viongozi walikuwa mbali tena wakiwa na pass port zao kabisa kama samia nk tayari kukimbia nchi ..pia niambie kwanini mke wake au watoto hatuoni wakiwa hapo karibu na mgonjwa nyakati za mwisho kwani jpm alikuwa anauguzwa na cdf kwanini mke wake asiwepo karibu .. wewe uoni kuwa kuna udhibiti ulifanyika hapo hospital ndiyo maana hadi sasa kuna sinto fahamu ...kuna siku mke wake kakanusha kuhusu ugonjwa alio sema samia
 
Hii namba kumi ndiyo inayochafua hadhi na heshima ya akina Kabudi, Bashiru na Ndugai.
Nani kamtaja bashiru, kabudi na ndugai kwenye hoja ya mabeyo?!. Au mabeyo mwenyewe umemsikia akiwa taja hao watu?!.ni kweli ujinga ni mzigo,lkn upumbavu wako ni janga.
 
Namba moja #1..ndio point kubwa....Magufuli ni mwanasayansi aliona wazi kilichofanyika akapata uhakika kwamba wamemmaliza....
 
Samia amshukuru Mungu kwa kuwepo mtu kama Mabeyo.

Ila baada ya hiyo mbeleko alichokifanya ni kukimbilia lile genge la mafisadi ya msoga.
Halafu kuna umbea wao ndio....ndege kudunguliwa....wakajiving roll mama alirudi dar kwa njia ya maji.
 
Nani kamtaja bashiru, kabudi na ndugai kwenye hoja ya mabeyo?!. Au mabeyo mwenyewe umemsikia akiwa taja hao watu?!.ni kweli ujinga ni mzigo,lkn upumbavu wako ni janga.
Pole sana ndugu Bashiru kwa maumivu ya jiwe la gizani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…