Njia ya mawasilianoHii inafikirisha sana, ni aina gani ya njia iliyotumika?
Kama katiba ingevunjwa sisi wananchi tusingekubali , kingewakaSamia amshukuru Mungu kwa kuwepo mtu kama Mabeyo.
Ila baada ya hiyo mbeleko alichokifanya ni kukimbilia lile genge la mafisadi ya msoga.
1. "Rais aliomba akafie nyumbani kwake, maana alisema hawezi kupona.
2. Alishangaa nilipomwambia sina mamlaka ya kuruhusu hilo.
3. Aliomba aitiwe Paroko wake, Pd Makubi na Kard. Pengo ambao walifika na kumpa upako wa wagonjwa!
4. Alikata roho mbele yetu wakuu wote watatu wa vyombo vya usalama.
5. Makamu wa rais, Waziri Mkuu na Katibu Mkuu kiongozi hawakuwepo Dar. Tukaamua kuwaita Waziri Mkuu na Katibu Mkuu kiongozi ambao walifika na kuwapa taarifa ya msiba.
6. Ilibidi tutumie njia nyingine kumjulisha makamu wa rais ambaye ndiye alitakiwa kutangaza taarifa ya msiba.
7. Kulikuwa na mjadala kipi kianze kati ya mazishi na kumwapisha makamu wa rais kuwa rais.
8. Wengi walishauri yafanyike mazishi kwanza, lakini nilishauri uapisho uanze kwanza, kwa sababu marais wa nchi nyingine walitakiwa wapokelewe na rais wa nchi.
9. Lilikuja suala la gwaride la uapisho ambapo walishauri kusiwe na gwaride. NILIWAKATALIWA kwa sababu aliyekuwa anaapishwa ni amiri jeshi mkuu,na lazima bendera ya amiri jeshi mkuu ipandishwe kwa gwaride. Kinyume na hilo, jeshi LISINGEMTAMBUA kama amiri jeshi mkuu.
10. Kulikuwa na baadhi ya mawazo, kwamba inakuwaje juu ya makamu wa rais kushika nafasi ya urais. Nadhani walisahau kuwa katiba ya nchi inasema nini, ikiwa rais aliye madarakani anafariki au akishindwa kuongoza. Nami nilisema ni vema utaratibu huo ukafuatwa na ni jambo jema.
Usingefanya lolote.Kama katiba ingevunjwa sisi wananchi tusingekubali , kingewaka
Wale wabunge 19 haramu wa chama chako..katiba ilifuatwa kupatikana kwao? Nini kimewaka hadi leo, au ukiandika hapa ndio kwako kimewaka..Kama katiba ingevunjwa sisi wananchi tusingekubali , kingewaka
Wale mbona wanaishi kama digidigi ! huna taarifa tuWale wabunge 19 haramu wa chama chako..katiba ilifuatwa kupatikana kwao? Nini kimewaka hadi leo, au ukiandika hapa ndio kwako kimewaka..
Mkuu utakuwa na shida mahala si bure..badala ya paroko na kadinali wangeitwa Lissu, Mdude, Mo Dewji, Ney wa Mitego, ili atubu makosa yake, wamsamehe, na kumuombea pumziko la amani.
jina kubwa ila ulichoandika sasa...[emoji23]..badala ya paroko na kadinali wangeitwa Lissu, Mdude, Mo Dewji, Ney wa Mitego, ili atubu makosa yake, wamsamehe, na kumuombea pumziko la amani.
sadist hao mkuu, yanaumia sana kutambua jamaa alitubu dhambi zake mbele ya paroko, na sasa (kwa imani ya kikristo) yuko mbinguniMkuu utakuwa na shida mahala si bure
Duh1. "Rais aliomba akafie nyumbani kwake, maana alisema hawezi kupona.
2. Alishangaa nilipomwambia sina mamlaka ya kuruhusu hilo.
3. Aliomba aitiwe Paroko wake, Pd Makubi na Kard. Pengo ambao walifika na kumpa upako wa wagonjwa!
4. Alikata roho mbele yetu wakuu wote watatu wa vyombo vya usalama.
5. Makamu wa rais, Waziri Mkuu na Katibu Mkuu kiongozi hawakuwepo Dar. Tukaamua kuwaita Waziri Mkuu na Katibu Mkuu kiongozi ambao walifika na kuwapa taarifa ya msiba.
6. Ilibidi tutumie njia nyingine kumjulisha makamu wa rais ambaye ndiye alitakiwa kutangaza taarifa ya msiba.
7. Kulikuwa na mjadala kipi kianze kati ya mazishi na kumwapisha makamu wa rais kuwa rais.
8. Wengi walishauri yafanyike mazishi kwanza, lakini nilishauri uapisho uanze kwanza, kwa sababu marais wa nchi nyingine walitakiwa wapokelewe na rais wa nchi.
9. Lilikuja suala la gwaride la uapisho ambapo walishauri kusiwe na gwaride. NILIWAKATALIWA kwa sababu aliyekuwa anaapishwa ni amiri jeshi mkuu,na lazima bendera ya amiri jeshi mkuu ipandishwe kwa gwaride. Kinyume na hilo, jeshi LISINGEMTAMBUA kama amiri jeshi mkuu.
10. Kulikuwa na baadhi ya mawazo, kwamba inakuwaje juu ya makamu wa rais kushika nafasi ya urais. Nadhani walisahau kuwa katiba ya nchi inasema nini, ikiwa rais aliye madarakani anafariki au akishindwa kuongoza. Nami nilisema ni vema utaratibu huo ukafuatwa na ni jambo jema.
Napata hisia Mkaa hapa alitangulizwa strategicallyWatu wakizoezwa kukiuka katiba huwa nihatari sana...wanataka kufanya mambo tofautii na katiba nivile kamanda alisimama wima!! Najiuliza mkaa hapa angelikuwepo ingelikuwajeee? Anyways hayamambo ni mazito najela si pazuri
power... huyo order moja tu jeshi lipo mtaani mwisho kutembea saa 12 jionibasi kama sio ushkaji wa ngosha na mabeyo uliomfanya amlinde popote... na kama asingekua dar wakati mzee anakata moto, basi wahuni wangepiga tukio zito tungejionea kasheshe....
mi kama ,mabeyo ndio aliyelazimisha mambo yaende yalivyoenda
Watu wa karibu kabisa na rais tena karibu sana ni vyombo vya ulinzi na usalama na wala sio hiyo mihimili mingine, mkilijua hilo wala hamtakuwa na tatizom, huu mjadala wengi wenu umewazidi sana kiufahamu ila basi kwa sababu ya ujuaji mwingi.Namba 6 mmmmh
Binafsi nadhani mihimili yote ilitakiwa iwe inapewa taarifa ya kila kinachoendelea