NTSA Yaleta Digital Fines Mpya… Lakini Court Yasimamisha Mpango! Madereva Wabaki Wakishangaa

NTSA Yaleta Digital Fines Mpya… Lakini Court Yasimamisha Mpango! Madereva Wabaki Wakishangaa

OwadeKuya

Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
95
Reaction score
78
Madereva nchini Kenya wamekumbana na mpango mpya wa NTSA wa digital fines unaotoza faini instant kupitia mfumo wa Traffic Management Solution (TMS). Mfumo huu ulilenga kupunguza face-to-face interaction na polisi barabarani ili kupambana na corruption.
Kwa sheria hizi mpya, makosa madogo kama kuzidi speed kwa 6–10 km/h ungepata KES 500, huku 16–20 km/h over the limit ikileta faini ya hadi KES 10,000. Pia kukataa kufuata maagizo ya police ni KES 5,000, na kushindwa kuonyesha driving license ni KES 1,000.
Kwa upande wa PSV na matatu, makosa kama kuokota au kushusha abiria kwa stage isiyo rasmi ni KES 1,000, na kuendesha bila fire extinguisher ni KES 2,000.
Hata hivyo, High Court imeingilia kati na kusimamisha utekelezaji wa faini hizi mpya kuanzia March 12, 2026, ikisubiri review zaidi ya sheria hizo.
Sasa madereva wengi wanauliza:
Je, digital fines hizi zitapunguza corruption barabarani ama ni mzigo mwingine kwa madereva?
Source: citizen digital
 
Back
Top Bottom