Ntawezaje kuupload picture & video?

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Naomba somebody kunielekeza namna ya kuupload picture and videos hapa JF Plz!
 
Nitakuelekeza kwa mifano mkuu fuatana nami ni rahisi tu. Hii ni kuhusu kuupload picha.
1.jpg
Kwenye face page yako ya jf kuna icon hii hapa chini ibofye
2.jpg

kisha utapata kitu kama hii chini
3.jpg
Kwanza bonyeza pale juu 'from computer' kisha bonyeza 'browse' na hapo utapata kitu kama hapa chini
4.jpg
Pale juu kulia bonyeza picha unayotaka ku upload. mimi nimetoa mfano kwa kubonyeza ya kwangu 'voda' kisha bonyeza 'Open' utapata kitu kama hapa chini
5.jpg
Sasa bonyeza 'upload file(s)' ita upload file yako na utapata matokeo haya hapa chini
6.jpg
umemaliza unaweza kuweka maandishi unayotaka kuweka na kisha ukabonyeza 'post quick reply' YOU ARE DONE.

Kwa upande wa kuupload video bonyeza 7.jpg kisha endelea na procedure zile zile kama za kuupload picha.
Zipo na njia nyingine lakini tumia hii kwa kuwa unajifunza
Have a nice trial
 

Attachments

  • voda.jpg
    voda.jpg
    14.7 KB · Views: 36
Back
Top Bottom