Jamani mwenye uelewa wa hili naombeni ushauri wa kitaalamu. Nahtaj kutuma video yenye ukubwa wa 3.3 MB ina urefu wa dakika 7. Kila nkijaribu ku "attach" kwenye GMAIL inagoma na nilikuwa natumia simu. Je naweza kutumia njia gani mbadala. Naomben anaefahamu anisaidie tafadhali.