ntapata wapi majiko ya triangle gas stove

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Wanajamvi habari, natafuta majiko ya gas yanaitwa triangle gas stove yaliuzwa sana saba saba.yanatumia gas flani ndogo inaiwa butane gas, inakwenye kachupa kdg kama chupa ya sumu ya mbu, mwenye taarifa wapi yanapatikana. Tufahamishane pls.asante
 
nenda sabasaba ukawulize wahusika wa uwanja wanaweza kuwa na taarifa ya bidhaa
 
Back
Top Bottom