Information technology (kazi/intern)

curry_atomic

Member
Mar 30, 2020
57
48
Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza chuo course ya Bachelor of science in information systems mwakaa jana.

Nimekuja kwenu kutela ombi langu kwa yoyote anaefahamu kama kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T aweze kunisaidia nitashukuru sana pia nipo tayari kufanya sehem kama intern nipate mafunzo katika tasisi yoyote lengo ni kupata work experience inisaidie kusonga mbele katika ushindani wa ajira.

Nina ujuzi katika mamb yafwatayo
1. System development using frameworks (Laravel, Spring boot, spring data JPA,spring security)
2. Database design and implementation
3. Nafahamu programming language zifwatazo (Java,Php,javascript)
4. Frontend library (React.js)
5.Frontend(Html,css, bootstrap)

Ingawa nimejikita sana kwenye programming ila pia networking,window server administration, system analysis naufahamu nayo

GitHub link ambako kuna repository za baadhi ya project zangu binafsi ambazo nimekua nikifanya


Phone: 0738886086

Natanguliza shukranii
 
Ushauri ukitaka kufanya internship fuata Taasisi husika waombe hapo hapo pengine unaweza kubalika.

Second chance, nyinyi ni watu mnao hitajika Zaidi kikubwa tafuta mtaji kidogo anza kupiga mishe za online kama mambo ya tovuti na kuendelea mbona utatoboa tu.
 
Ushauri ukitaka kufanya internship fuata Taasisi husika waombe hapo hapo pengine unaweza kubalika.

Second chance, nyinyi ni watu mnao hitajika Zaidi kikubwa tafuta mtaji kidogo anza kupiga mishe za online kama mambo ya tovuti na kuendelea mbona utatoboa tu.
Shukranii sana kwa ushauri mkuu
 
Aisee kama pia utapata muda jaribu kuangalia hizi kazi za freelancing online, naona kama soko la ajira bongo linapitia kipindi kigumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom