Mliopo kwenye sector ya Information Technology

Flash-Q

Member
Jan 7, 2022
8
6
Habariii wana familia mi nikijana muhitimu wa chuo kwenye kada ya tehama nilikua nimekuja hapa kuleta ombi langu la kuomba kupata sehem ya kufanya intern kwa yoyote anaeweza kunisaidia au kama ana mfahamu mtu anaeweza nisaidia kwenye field ya ICT nimejikita sana kweny programming katika programming na knowledge katika maeneo yafwatayo web development (Laravel, Spring,react js) programming languages (Java,php, JavaScript) , database pia na general knowledge katika sehem nyingi za ICT maana tukiwa chuo tunafundishwa vitu vingi kama networking, window server , security, system analysis etc......nimekua nikitafuta sehem ya kufanya intern bila mafanikio ili nipate work experience inisaidie siku za usoni.....kwa yoyote anaeweza nisaidia namba zangu ni iz

0738886086

Natanguliza shukraniii
 
mkuu siku hizi hii kada yetu wanahitaji kuonesha project sio tuu kusema Kwa maneno kuwa najua Moja mbili tatu, haitoshi.

Mkuu Stefano Mtangoo amewahi kulisema hili mara kadhaa hapa, na mwaka jana kuna kampuni aliweka Tangazo lake humu, mi nilishindwa kuomba maana project nilikuwa sijamaliza na Test zikaanza.

Jamaa angu alienda kuomba Intern ofisi moja ya kiserekali hapa mjini alikuwa anajua Android na spring boot tuu, alipoulizwa project akaonyesha 5 za Andoroid na moja ya spring boot. kati ya hizo 3 zikiwa playstore. Aliambiwa next week aende aanze.

Unaposema najua moja mbili tatu hakikisha unaambatanisha project zako mkuu.
 
Sijafanya project yoyote kubwaa mara nyingi ni izi ndogo ndogo wakati najifunza pia sio intern ya programming kweny IT kun areas nyingi networking, administration na maeneo mengine ndomana nikaleta ili andiko ili youote mwenye nafasi kwa sehemu yake anaweza kunipa io nafasi pia mi nimehitumu mwaka jana yaan mwezi wa 11 ndio naingia kwenye hii industry sio kwamba ni professional tayari
 
Sio kila intern lazima uwe na project ndo upate wapo wanofanya intern na hawakua na project yoyote tayari ndomana nimekuja hapaa sababu jamii ilio na watu wengi kuna mtu pengine akanishika mkono.....na kwa sasa nimeaza fanya project kubwaa angalauu
 
Nafahamu umuhimu wa project kweny field ya programming ili upate kazi ndomana nipo saiv naendelea na projects zangu lakin mdaa huo huo nahangaika kuomba intern kama ivi sababu siwezii kaa subiri project ziishe ndo niaze omba kaziii lazima nitoke kutafutaa
 
Sio kila intern lazima uwe na project ndo upate wapo wanofanya intern na hawakua na project yoyote tayari ndomana nimekuja hapaa sababu jamii ilio na watu wengi kuna mtu pengine akanishika mkono.....na kwa sasa nimeaza fanya project kubwaa angalauu
we kijana acha ubishi, naona una ujuaji wa kitoto, fuata ushauri unaopewa, kama kuna watu wamepata intenship na hawana any project to show hiyo ni bahati yao na enda wamepata hizo internship maeneo ambayo hayako serious.

huyo bwana anakudirect kwenye njia ya mafanikio, sasa wewe unataka kukomaa tu upewe intern na hauna mentality ya kufanya something tangible.
 
Habariii wana familia mi nikijana muhitimu wa chuo kwenye kada ya tehama nilikua nimekuja hapa kuleta ombi langu la kuomba kupata sehem ya kufanya intern kwa yoyote anaeweza kunisaidia au kama ana mfahamu mtu anaeweza nisaidia kwenye field ya ICT nimejikita sana kweny programming katika programming na knowledge katika maeneo yafwatayo web development (Laravel, Spring,react js) programming languages (Java,php, JavaScript) , database pia na general knowledge katika sehem nyingi za ICT maana tukiwa chuo tunafundishwa vitu vingi kama networking, window server , security, system analysis etc......nimekua nikitafuta sehem ya kufanya intern bila mafanikio ili nipate work experience inisaidie siku za usoni.....kwa yoyote anaeweza nisaidia namba zangu ni iz

0738886086

Natanguliza shukraniii
 
we kijana acha ubishi, naona una ujuaji wa kitoto, fuata ushauri unaopewa, kama kuna watu wamepata intenship na hawana any project to show hiyo ni bahati yao na enda wamepata hizo internship maeneo ambayo hayako serious.

huyo bwana anakudirect kwenye njia ya mafanikio, sasa wewe unataka kukomaa tu upewe intern na hauna mentality ya kufanya something tangible.
Daah aisee watuu pia tuna uelewa tofauti na kutafsiri vitu tofautiii sasa kama hapoo nimeletaa ubishii gaani comment ya ndugu yangu nimeielea na nimemwambia naelewa umuhimu wa fufanya project kweny kupata kazi kweny hii industry na nikamwambia kua hata sasa nipo nafanya project zangu lakin wakati huo huo nipo nahangaika kama ivi mda unaenda siwezii subiri mpaka project ziieshe maisha ni kupambana na pia nikamkumbusha kuaa kuna watu wanapa intern bila kuepo hata na project mkononi kuna jamaa zangu walipata intern Azania bank hawana project kuna wengine walipata wizara za mambo ya ndani dodoma na wengine fusthub bila projects kipindi icho mi nilikua sina transcript nikashindwa apply izo opportunity ndomana nikakumbusha mwezangu kua sio lazima uwe na project upate intern kuna mtu kanishauri niende idara ya maji kitengo cha networking sasa hapa inahitaji project gaan mkuu kwaio areas za IT ni nyingi ndomana kila mtu hapa anweza kuniona kwa jicho lake....na project za programming sio kwamba sina ninazo nina library management system nimefanya kwa c#,nina shop sale management system hii kwa java nina min project ya POS kwa Laravel min project ya cart kwa Laravel, employee CRUD spring boot ,Rest API'S crud kwa spring boot,web design nyingi,na Task tracker kwa react bado naona na deni ndomana savin nipo nafanya project kubwa zaid angalauu iwe na functionality nyingi ku impress na saiv nipo najifunza kutumia GitHub niweke huko sio kwamba sina projects... Ila wew umetafsiri vibaya io comment mkuu
 
Sio kila intern lazima uwe na project ndo upate wapo wanofanya intern na hawakua na project yoyote tayari ndomana nimekuja hapaa sababu jamii ilio na watu wengi kuna mtu pengine akanishika mkono.....na kwa sasa nimeaza fanya project kubwaa angalauu
we kijana acha ubishi, naona una ujuaji wa kitoto, fuata ushauri unaopewa, kama kuna watu wamepata intenship na hawana any project to show hiyo ni bahati yao na enda wamepata hizo internship maeneo ambayo hayako serious.

huyo bwana anakudirect kwenye njia ya mafanikio, sasa wewe unataka kukomaa tu upewe intern na hauna mentality ya kufanya something tangible
Daah aisee watuu pia tuna uelewa tofauti na kutafsiri vitu tofautiii sasa kama hapoo nimeletaa ubishii gaani comment ya ndugu yangu nimeielea na nimemwambia naelewa umuhimu wa fufanya project kweny kupata kazi kweny hii industry na nikamwambia kua hata sasa nipo nafanya project zangu lakin wakati huo huo nipo nahangaika kama ivi mda unaenda siwezii subiri mpaka project ziieshe maisha ni kupambana na pia nikamkumbusha kuaa kuna watu wanapa intern bila kuepo hata na project mkononi kuna jamaa zangu walipata intern Azania bank hawana project kuna wengine walipata wizara za mambo ya ndani dodoma na wengine fusthub bila projects kipindi icho mi nilikua sina transcript nikashindwa apply izo opportunity ndomana nikakumbusha mwezangu kua sio lazima uwe na project upate intern kuna mtu kanishauri niende idara ya maji kitengo cha networking sasa hapa inahitaji project gaan mkuu kwaio areas za IT ni nyingi ndomana kila mtu hapa anweza kuniona kwa jicho lake....na project za programming sio kwamba sina ninazo nina library management system nimefanya kwa c#,nina shop sale management system hii kwa java nina min project ya POS kwa Laravel min project ya cart kwa Laravel, employee CRUD spring boot ,Rest API'S crud kwa spring boot,web design nyingi,na Task tracker kwa react bado naona na deni ndomana savin nipo nafanya project kubwa zaid angalauu iwe na functionality nyingi ku impress na saiv nipo najifunza kutumia GitHub niweke huko sio kwamba sina projects... Ila wew umetafsiri vibaya io comment mkuu
basi unatakiwa kunarrow options zako, kwa mazingira ya Tanzania bado sana kusema unaweza kwenda kujiattach kampuni yoyote ile na ukapata fursa ya kujiendeleza zaidi kwenye tasnia ya IT.

Na kama unafanya mambo yote hayo, unataka internship ya nini tena?
 
we kijana acha ubishi, naona una ujuaji wa kitoto, fuata ushauri unaopewa, kama kuna watu wamepata intenship na hawana any project to show hiyo ni bahati yao na enda wamepata hizo internship maeneo ambayo hayako serious.

huyo bwana anakudirect kwenye njia ya mafanikio, sasa wewe unataka kukomaa tu upewe intern na hauna mentality ya kufanya something tangible

basi unatakiwa kunarrow options zako, kwa mazingira ya Tanzania bado sana kusema unaweza kwenda kujiattach kampuni yoyote ile na ukapata fursa ya kujiendeleza zaidi kwenye tasnia ya IT.

Na kama unafanya mambo yote hayo, unataka internship ya nini tena?
Sana sana najifua kweny industry ya programming ingawa hata networking na areas nyingine nipo nipo maana nikiwa chuoni tunafundishwa mamb mengi sana kweny IT
 
Ukiingia soko la Ajira, kama ndio direction unayotaka kuchukua in the long run, ni lazima u specialize, na mazingira ya Tanzania utaishia kwenye net working.

ukitaka programming, tafuta software companies, nenda simba tech, na kuna makampuni hapo makumbusho na morocco na mikocheni ya software development, small small companies hazina majina makubwa lazikini yanafanya mambo makubwa.

ama sivyo, mimi sioni ni kwa nini unatafuta internship na hizo skills uko nazo? sijaelewa
 
Shukranii ngoj nijaribu kufika kwenyu izo company......maisha mkuu nimeanda company kazaa kila nikifika wananambia hawana nafasi wengine acha namba za simu ndomana nakuja na huku kujaribuu ni katikaa vita ya kuhangaikaa kupata ujira maana nataka nipate hata intern ini boost kweny work experience
 
Sijafanya project yoyote kubwaa mara nyingi ni izi ndogo ndogo wakati najifunza pia sio intern ya programming kweny IT kun areas nyingi networking, administration na maeneo mengine ndomana nikaleta ili andiko ili youote mwenye nafasi kwa sehemu yake anaweza kunipa io nafasi pia mi nimehitumu mwaka jana yaan mwezi wa 11 ndio naingia kwenye hii industry sio kwamba ni professional tayari
na huyo ninaekwambia naye kamaliza mwaka jana mwezi wa 11 kama wewe. siku ameenda kuonesha project zake alimkuta jamaa mwingine nae kaenda kuomba Intern na hana project aliambiwa asubilie kama wiki mbili Kisha atatafutwa lakini, huku yeye alipewa siku ya kwenda kuanza. Sio kwamba nakuambia vibaya lakini ndio ukweli imebidi na Mimi nianze kutengeneza project kwa huu mwaka nilio nao wa mwisho chuoni maana soko ndio linataka hivyo.
 
Sijafanya project yoyote kubwaa mara nyingi ni izi ndogo ndogo wakati najifunza pia sio intern ya programming kweny IT kun areas nyingi networking, administration na maeneo mengine ndomana nikaleta ili andiko ili youote mwenye nafasi kwa sehemu yake anaweza kunipa io nafasi pia mi nimehitumu mwaka jana yaan mwezi wa 11 ndio naingia kwenye hii industry sio kwamba ni professional tayari
kwani Networking ndio rahisi kuonyesha project, unafanya simulation. Design network Kisha configure ili unapoenda unakuwa na cha kuonyesha kama simulation.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom