Natafuta intern au kazi katika kada ya information technology

curry_atomic

Member
Mar 30, 2020
57
48
Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza Bachelor of science in information systems mwakaa huu.

Nimekuja kwenu kwa ombi la kuomba kwa yoyote anaefahamu kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T aweze kunisaidia nitashukuru sana pia nipo tayari kufanya sehem kama intern nipate mafunzo katika tasisi yoyote lengo ni kupata experience ya kazi inisaidie kusonga mbele katika ushindani wa ajira.

Nina ujuzi katika mamb yafwatayo
1. System development using frameworks (Laravel, Spring boot,Spring data JPA,spring security)
2. Database design and implementation (Mysql, Microsoft sql server)
3. Nafahamu programming language zifwatazo (Java,Php,javascript)
4. Na ujuzi wa kati katika web services kwa kutumia spring boot

Natanguliza shukranii
 
Una ujuz mkubwa mpaka nimekuogopa..
Una kazi yyt kama reference ya ujuzi ulionao?
Usimuogope mkuu , kama unahitaji kumasidia msaidie tu , Mara nyingi wengi wanaomaliza vyuo huwa zao hua ni final year project tu ,labda umuombe hiyo akuonyeshe tu , na pia unaweza pia kazi zako akawa anakusaidia ili spate experience , lakini usisahau kua unamtoa hapa pesa ya vocha mkuu
 
Ni Kwelii mkuu sijawahii fanya project kubwa kwa kutumia hizi framework mara nyingi ni mini project ila kufahamu kuitumia framework nikiwa nasoma
 
Una ujuz mkubwa mpaka nimekuogopa..
Una kazi yyt kama reference ya ujuzi ulionao?
Shukranii kwa mchango wako....ila sijawahi kufanya project kubwa kwa kutumia izi framework mara nying nimefanya mini project wakati naendelea kujifunza kutumia izi framework
 
Mkuu elimu yangu ni O-level ,nianze na course gani ili niweze kufikia level yako?
Nalog off
 
Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza Bachelor of science in information systems mwakaa huu.

Nimekuja kwenu kwa ombi la kuomba kwa yoyote anaefahamu kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T aweze kunisaidia nitashukuru sana pia nipo tayari kufanya sehem kama intern nipate mafunzo katika tasisi yoyote lengo ni kupata experience ya kazi inisaidie kusonga mbele katika ushindani wa ajira.

Nina ujuzi katika mamb yafwatayo
1. System development using frameworks (Laravel, Spring boot,Spring mvc)
2. Database design and implementation (Mysql, Microsoft sql server)
3. Nafahamu programming language zifwatazo (Java,Php,javascript)
4. Na ujuzi wa kati katika web services kwa kutumia spring boot
5. Na ujuzi wa kati katika mamb ya machine learning na deep learning kwa kutumia python
6. Na fahamu networking routers and routing protocols kufanya configuration za routers ingawa nikiwa chuoni sikufanya na real device tulikua tunafanya simulation kwa kutua tools kama pakcet tracer
7. Ni system analyst

Natanguliza shukranii

Mtu mwenye qualifications "heavy" kama ulizo ziandika hapa ni nadra sana kupatikana hapa Tz na hata ukiwapata hutawaona hapa jf wanaomba kazi!

Yani mtu anajua kuanzia AI mpaka spring boot plus java all the way to PHP plus laravel! Kuanzia network mpaka deep leaening!

Si mchezo mkuu!!

Ushauri wangu ni huu..

1. Tafuta eneo unalo taka ku specialize, kama ni web development, app development, AI/ML au mambo ya network! (Anza na eneo moja then badae uta scale)!

Sio unasema unajua kila kitu ilihali ndio umetoka chuoni yani hata mimi nisiye mtu wa CS naona ume eksagereti mambo!

2. Katika sehemu utayo au utazo amua ku specialize soma and go deep! Sio leo umesoma java kesho unasoma deep learning! Kama umeamua ku base na mambo ya app dev basi koma kwenye hilo eneo! Uwe nondo kweli kweli!

3. Tengeneza sample projects! Well, hazitakiwi kuwa perfect!

4. Baada ya kukamilisha hiyo namba 4 sasa Tengeneza account ya GITHUB! Kila unachofanya au kila project unayo fanya hakikisha unai upload github!

Sasa ukisha kuwa na hiyo account yenye sample projects siku unaomba kazi unaitumia hiyo github yako ku showcase skills zako!

Kwenye ulimwengu wa IT hamna mtu atakuelewa ukija na maneno matupu kama uliyo leta hapa... njoo na projects sample ulizo fanya na zilizopo hata github then watu watakupima kwa hizo projects zako!

5. Tengeneza website yako iliyo na sample projects zako! hii sio lazima kama unaanza maana unaweza tumia github bila shida!

6. Fanya youtube iwe instagram yako! Soma soma soma!

Kila la heri!
 
Shukranii sana kwa ushauri....ila kama umesoma vizuri bandiko langu nimesema nina uelewa katika hayo mamb na sio expert katika izo sehem spring , Laravel framework nimezisoma na najua kuzitumia sijawah fanya project kubwa na izo framework ni mini project ndomana nikaja hapa kuomba sehem nikipata intern nikutane na watu wenye experience nipate uzoefu.......tukiwa chuo tunafundishwa mamb mengi kwa miaka mi3 ila zio sehem nilizo list hapo ndo anagalua niliweka mkazo sehem izo na ajira za leo hazitaki mtu anaejua php zinataka uwe unajua front end technology, JavaScript, backend,database,rest API....kwa wew unavoona utakaa unakomaa na kitu kimoja java pekee huwezi toka lazima usome Advance java kweny ulimwengu wa sasa intakiwa uwe unajua vitu vingi ili uwe competent kweny ajira.....namimi bandiko langu nimesema naomba intern nipate mafunzo ukiwa chini ya usimamozi mfano organization inayojishulisha na undaji wa mifumo no rahisi kutumia ujuzi wako wa spring framework hata kama ni wa level ya kati kujua vitu gan wanafanya kweny industry....................namimi kwa sasa wakati naendelea kujifua ndomana nikaleta bandiko langu ilo we unaongea kwakua yawezekana ni mtu ambaye tayari ushafika mbali kweny haya mamb ila mi ndo naazaa
 
Afu sijasema najua kila kituu mkuu yaan ume ni quote vibaya aise soma elewaa ndo uje kunishauri vizuri
 
Nikutakie kila la heri mkuu!
 
Una ujuz mkubwa mpaka nimekuogopa.

Una kazi yyt kama reference ya ujuzi ulionao?

Can he/she prove it? Kuna kijana mmoja tulimchukua hapa ofisini kutokana na ujuzi aliyokuwa ameandika kwenye CV yake tukamchukua kumbe hamna kitu yaani hata kuandika just simple code ni shida ila ukiangalia CV yake imeshiba....Ndo maana napata wakati mgumu kuona skills alizoziandika hapa halafu just anatafuta intern inawezekana uwezo wake sio huo alioandika hapo
 
Nipe kazi nikufanyie nikishindwa ndo ujee hapa tena kuandika kua mimi sina izo skills usifanye assumption tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom