Hayo Mavazi Yanavaliwa kwa Shughuri Maalumu ya Heshima! Na Haswa Ikiwepo Siku ya Ijumaa!! Full Stop.
Kudaut Majitu yasiyojua Historia za Dini Utayajua tu Dini Zimeanzia Middle East So Kama wewe ni mfuasi wa Upande mmojawapo basi ukifuatisha utaangaukia na mavazi ya aina fulani kuna wanayopenda kuvaliwa na wakristu Wayahudi na Muslim na Madhehebu yake na haswa huu utofauti haswa umesababishwa na kukosekana na maandishi fulani fulani ya historia kwani enzi zile kulikuwa na upingaji wa habari fulani ndizo zilizosababisha kuwa na madhehebu tofauti,
Kama hatujui vizuri tusipinge au tuwaache watu wajiamulie watakavyo ila kama mtu unaona haipendezi toa tu ushauri kwenye maeneo ya kazi kusiwe na hisia zozote za udini kuwe na usawa fulani ili kuondoa minong'ono isiyo na ulazima. japo kanzu, Bukta singland, majoho na vingi vingi vitop n.k sio mavazi lasmi la kazini.
ijumaa ilionekana inapendeza watu wakivaa t-shirt juu na chini suruali ya kawaida kwenye katiba mpya ombeni hayo isije ikaanza watu wakaanza kuvaa makofia ya kiyahudi makazini..