NSSF wanalipaga tarehe ngapi pesa za Kila mwezi?

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,588
Reaction score
1,858
Hello,

Kama ushapata mafao ya kukosa kazi NSSF Kwa miezi mitatu.

NSSF Wana utaratibu wa kukulipa 33% ya mshahara Kwa miezi sita.

Je malipo ya Kila mwezi ulipwa tarehe zipi za mwezi?
 
NSSF ya mama
 
Fika ofisin kwao wakueleweshe hatua kwa hatua.Wana formula zao za kushangaza sana hasa ukiugua mfano hautapata pesa yoyote eti hadi ipite 18 months baada ya hizo 6 months za malipo(33%) uliyokuwa unapokea kila mwezi.Nchi hii watunga sheria huwa hawaangalii kabisa uhalisia wa vipato vya watu maskini.Ni kuchochea chuki tu kati ya serikali na wananchi.Halafu eti kuna skilled na unskilled,cha ajabu kuna watu wanaohonga pesa dirishanu,hakuna cha utaratibu wala formula,pesa zote huwa wanachukua
 
Teheeeeeee ngoma inogile hapo ni patamu kuna mashirika mengi ayafanyi ujinga wa kuwawekea hela zao nssf badala yake wanapewa chao chote nilikuja kuelewa baadae sana kwa nn wanaikwepa hiyo taasisi
 
Back
Top Bottom