NSSF, PSPF, LAFP: Ni mfuko upi mzuri zaidi kati ya hizo?

Gazzer

Member
Sep 12, 2012
54
12
Naomba kufaham ni mfuko upi wa pension ambao ni mzuri
1.malipo
2.process za ufuatialiji malipo
3.na services zinazotolewa
 
Usidanganyike dogo mfuko the best ni NSSF kwa sasa hapa Tanzania. Malipo mifuko yote inatoa malipo sawa ila in terms of services nssf awana mpinzani hao pspf watu wanatumia mazoea ila ni mfuko unaoongoza kwa usumbufu wa kutoa mafao na benefits zake nyingi wanazotangaza hazipo
 
Mfano mtu aliyelipwa mafao milioni 60 pspf akienda nssf hazidi milioni25(kwa mshahara ule ule na muda wa utumishi ule ule)
 
hii mifuko yote baba yao ni mmoja ambaye ni serikali ya chama cha mapinduzi..

so wote wanabadilika badilika kama vinyonga
 
Mfano mtu aliyelipwa mafao milioni 60 pspf akienda nssf hazidi milioni25(kwa mshahara ule ule na muda wa utumishi ule ule)
Acha fix mifuko yote sasa calculation ni moja ata pesa unapata ile ile haijarishi mfuko. Usumbufu na uongo ndio unaua hiyo pspf
 
Back
Top Bottom