Wadau Kwema?
NSSF kwa sasa kama huna anaekufaham, basi inakula Kwako, Jamaangu Alipigiwa Simu na Kupewa maelekezo flani kabla ya Interview na sasa Yupo Ofisini / KITENGO amelamba Shavu.
Made in Tanzania.
No One Know YOU, then zama Mfukoni Kununua AJIRA.