NSSF: Mtajifunza lini kuwajibika?

NSSF: Mtajifunza lini kuwajibika?

Sijakuelewa, je kwa anayechukua cheque? Mfano mtu amepangiwa kwenda kuchukua cheque tarehe 24 hawezi kupata?
Unaweza usiipate kwa siku hiyo, ukaambiwa mweka saini ana kikao kirefu. Ile ofisi ya Nssf Ubungo ni janga la taifa, wahudumu wana lugha chafu sana, hasa pale kwenye kupiga picha za vitambulisho!
 
Unaweza usiipate kwa siku hiyo, ukaambiwa mweka saini ana kikao kirefu. Ile ofisi ya Nssf Ubungo ni janga la taifa, wahudumu wana lugha chafu sana, hasa pale kwenye kupiga picha za vitambulisho!

kile kidada? Namhurumia mama Msika
 
kaka sisi tunaondika ni wahanga wa hii kitu - hatumchukiii mtu ila wafanye kazi walizoomba. Payment gani inakaa zaidi ya wiki 6 hadi 8 guys!! Yangu mimi ina wiki ya 6 na nimeambiwa nikaangalie 4th January.

Tunadai hela utafikiri wale wazee wastaafu wa ile East Africa bwana kaaa :becky: tupeni pesa zetu tulipe kodi za pango na ada za watoto.

mkuu hujajibu PM yangu.
 
Unaweza usiipate kwa siku hiyo, ukaambiwa mweka saini ana kikao kirefu. Ile ofisi ya Nssf Ubungo ni janga la taifa, wahudumu wana lugha chafu sana, hasa pale kwenye kupiga picha za vitambulisho!

mkuu mwenye lugha mbaya ni mkurya mmoja ana kisahara.
 
dr. Dau na NSSF ni wahuni na washenzi kabisa, mnakalia kujenga tu na watu wanaopangiwa kuchukua cheque zao hawapati. Mlaaniwe. Mtandao nyie ni wa kulaumu kwa wiki ???????????????????????? stupid
 
Siku nyingine ukienda mtafute mmoja mwmbie utampa 10% ya hela unayochukua uone atakavyokimbizana na faili lako na utalipwa ghafla.........dawa nikuwa tafutia menejimenti nyingine

mimi niliwaambia hivyo hivyo. waliponipa tu hundi nikabalika sura na kuwaeleza sitoi hata senti moja. nikawauliza 'na ninyi si mna mafao yenu?'.
 
mimi niliwaambia hivyo hivyo. waliponipa tu hundi nikabalika sura na kuwaeleza sitoi hata senti moja. nikawauliza 'na ninyi si mna mafao yenu?'.

mkuu Polisi hao ni wa branch ipi?
 
Last edited by a moderator:
hivi kuna utaratibu gani kuwafungulia kesi. wanasheria msaada tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom