NSSF: Kurudishiwa michango ya uanachama/withdraw benefit

NSSF: Kurudishiwa michango ya uanachama/withdraw benefit

rr4

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
3,962
Reaction score
5,886
MAFAO YA MUDA MFUPI
1) KURUDISHIWA MICHANGO YA UANACHAMA / WITHDRAWAL BENEFIT
Viambatanisho

  1. Barua ya kuacha kazi kutoka kwa mwajiri (original na kopi)
  2. Kadi yako ya uanachama ya NSSF (smart card) na kopi yake
  3. Picha tatu za passport size
  4. Kopi ya kadi ya Benki
Fomu za Kujaza
  1. NSSF/R.6 (ipelekwe kujazwa kwa mwajiri)
  2. NSSF/B.17 (Jaza kopi tatu)
Angalia mfano halisi wa fomu NSSF/B.17 iliyokwishajazwa
 
MAFAO YA MUDA MFUPI
1) KURUDISHIWA MICHANGO YA UANACHAMA / WITHDRAWAL BENEFIT
Viambatanisho

  1. Barua ya kuacha kazi kutoka kwa mwajiri (original na kopi)
  2. Kadi yako ya uanachama ya NSSF (smart card) na kopi yake
  3. Picha tatu za passport size
  4. Kopi ya kadi ya Benki
Fomu za Kujaza
  1. NSSF/R.6 (ipelekwe kujazwa kwa mwajiri)
  2. NSSF/B.17 (Jaza kopi tatu)
Angalia mfano halisi wa fomu NSSF/B.17 iliyokwishajazwa
Mkuu mimi sijakuelewa una maana fao la kujitoa limerudishwa na NSSF?
 
Hili fao la kujitoa bado linatolewa?Kuna uzi humu unaelezea mizengwe wanayokumbana nayo watu wakiwa wanafuatilia hilo fao.Tuelezane kama mambo yamebadilika.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Na vipi kuhusu bima ya afya kwa wastaafu.ie kama mstaafu anachangia 6% ya mafao yake kila mwezi,je anaweza ku claim hiyo michango yake baada ya muda fulani ..??
 
Mkuu mimi sijakuelewa una fao la kujitoa limerudishwa na NSSF?

Halijawahi kufutwa na lipo kwenye maelezo yao................. sasa labda watuambie wenyewe ni kwanini lipo ila kutoa unazungushwa.
 
Mimi nadhani wesimamisha kwanza kuchukua pesa kwa mda usiojulikana cjui kuna sheria wanataka waipitisheee
 
Halijawahi kufutwa na lipo kwenye maelezo yao................. sasa labda watuambie wenyewe ni kwanini lipo ila kutoa unazungushwa.
Ndo mpaka wawepo hapa kutoa maelezo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ungeweka hii habari venye watu wengi wanategemea iwe ila aya mazaga mh

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ungeweka hii habari venye watu wengi wanategemea iwe ila aya mazaga mh

Post sent using JamiiForums mobile app
Hiyo source yenyewe hakuna maelezo,huyu jamaa anapulizia huu moto wa Mafao,wangeingia kwenye
mioyo ya wanachama jinsi inavyofanana na terrorist!!!!!
 
HAAAAAAAAA,

MIA SINA HAMU NA NSSF, WANAZINGUA SANA.

NINA MFANO HAI, SIKUJIFUKUZISHA KAZI MWENYEWE, BALI KWA MATAKWA YA MWAJIRI,

CHA KUSHANGAZA UNAAMBIWA UENDE KUDAI MAFAO YAKO BAADA YA MIEZI 6. ILIVYOTIMU MIEZI SITA NILIENDA NA KUJAZA KILA KITU. CHA AJABU UNAAMBIWA URUDI TENA BAADA YA MIEZI MIWILI ETI WANAFANYA UCHUNGUZI WAO KAMA HAUJAAJIRIWA.

NASHANGAA SANA, KAMA KWELI MTU AMEAMUA KUJITOA SIAPEWE HELA YAKE HATA BAADA YA SIKU TATU.

KWA MWENEDO HUU KUNA MTU ATAKUWA NA HAMU YA KUWEKA HELA ZAKE NSSF? HELA NI ZAKO ILA KUZIPATA NI SHIDA.
 
Hiyo source yenyewe hakuna maelezo,huyu jamaa anapulizia huu moto wa Mafao,wangeingia kwenye
mioyo ya wanachama jinsi inavyofanana na terrorist!!!!!



logo12.png





Taratibu za Kudai Mafao
MAFAO YA MUDA MREFU
1) MAFAO YA UZEE/ OLD AGE PENSION
Viambatanisho

  1. Barua ya kustaafu kutoka kwa mwajiri
  2. Kopi ya kadi yako ya uanachama ya NSSF
  3. Picha tatu (passport size)
  4. Kopi ya kadi ya Benki
Fomu za Kujaza
  1. NSSF/ R.6
  2. NSSF/B.1
2) MAFAO YA ULEMAVU / INVALIDITY PENSION
Viambatanisho

  1. Ripoti kuhusu ulemavu kutoka kwa jopo la madaktari
  2. Picha tatu (passport size)
Fomu za Kujaza
  1. NSSF/B.1
3) MAFAO YA URITHI/SURVIVOR’S PENSION
Viambatanisho

  1. Cheti cha kifo, kopi yake iwe imethibitishwa na mahakama
  2. Muhtasari wa kikao cha wanandugu, kopi yake iwe imethibitishwa na mahakama
  3. Cheti cha ndoa ikiwa madai yatafunguliwa na mwenza wa marehemu, kopi yake iwe imethibitishwa na mahakama
  4. Cheti cha kuzaliwa ikiwa madai yatafunguliwa na motto wa marehemu kopi yake iwe imethibitishwa na mahakama
  5. Fomu Na. 4 ya usimamizi wa mirathi inayotolewa na mahakama
  6. Kadi ya uanachama ya NSSF (kama ipo)
Fomu za Kujaza
  1. NSSF/ B.2
  2. NSSF/B18
MAFAO YA MUDA MFUPI
1) KURUDISHIWA MICHANGO YA UANACHAMA / WITHDRAWAL BENEFIT
Viambatanisho

  1. Barua ya kuacha kazi kutoka kwa mwajiri (original na kopi)
  2. Kadi yako ya uanachama ya NSSF (smart card) na kopi yake
  3. Picha tatu za passport size
  4. Kopi ya kadi ya Benki
Fomu za Kujaza
  1. NSSF/R.6 (ipelekwe kujazwa kwa mwajiri)
  2. NSSF/B.17 (Jaza kopi tatu)
Angalia mfano halisi wa fomu NSSF/B.17 iliyokwishajazwa

2) MAFAO YA UZAZI / MATERNITY BENEFIT
Mwanachama anatakiwa kufungua madai akiwa wiki ya 24 ya ujauzito au ndani ya siku 90 baada ya kujifungua

Viambatanisho
  1. Picha tatu za passport size
  2. Kadi yako ya uanachama ya NSSF (Smart card) na kopi yake
  3. Kopi ya kadi ya benki
Fomu za Kujaza
  1. MB1
  2. MB2
  3. MB3
ANGALIZO
Malipo ya mafao ya uzazi hufanyika mara mbili. Malipo ya kwanza kabla ya kujifungua na malipo ya pili baada ya kujifungua na kuwasilisha TANGAZO LA /

CHETI CHA KUZALIWA MTOTO
Mwanachama awe amechangia angalau miezi 36, ikiwa miezi 12 iwe imechangiwa mara tu kabla ya kupata ujauzito



3) MSAADA WA MAZISHI / FUNERAL GRANT
Viambatanisho

  1. Kibali cha mazishi / cheti cha kifo
  2. Risiti halisi za gharama za mazishi zinazomuhusu marehemu moja kwa moja mfano sanda,jeneza,mashada,marashi,kuchimba kaburi
  3. Muhtasari wa kikao cha wanandugu kumteua anayekuja kufungua madai haya
  4. Kadi ya uanachama ya NSSF ya marehemu (kama ipo)
Fomu za kujaza
  1. NSSF/B.3
4) MAFAO YA MATIBABU/ SHIB
Viambatanisho

  1. Vyeti vya kuzaliwa vya watoto (Nakala halisi na kopi mbilii)
  2. Cheti cha ndoa kwa mwanachama mwenye mwenza (Nakala halisi na kopi mbili)
  3. Picha tatu za mwanachama (passport size)
  4. Picha tatu za kila mtegemezi
Fomu za kujaza
  1. SHIB 3A (kopi tatu)
ANGALIZO
Mwanachama awe amechangia angalau miezi 3 mfululizo kabla ya kujiunga na matibabu. Mwanachama anatakiwa kuchagua hospitali moja kutoka kwenye list ya hospitali tulizoingia nazo mikataba (Bofya hapa kuona orodha ya hospitali)

Benefits Menu
Frequently Asked Questions
  • Nawezaje kuwa mwanachama wa NSSF?
    Tafadhali fika katika ofisi yoyote ya NSSF iliyo karibu yako kwa zoezi la uandikishaji ukiwa na picha moja ya passport…Read More
  • Napataje taarifa ya Michango yangu?
  • Je nifanyeje endapo michango yangu haionekani katika taarifa za akaunti yangu?
  • Je narekebishaje michango yangu?
  • Je mwanachama anayesafiri anaweza kumwachia mtu au ofisi imfatilie madai na kuchukua malipo yake?? Kwa utaratibu gani??



General
Member Queries
Call Centre
CallCentre.png


Contact
Postal address 😛.O.Box 1322, Benjamin Mkapa Pension Towers,
Azikiwe St, Dar Es Salaam,Tanzania
Tel🙁255) (22) 2163400-19 or (255) (75) 6140140 ;
Fax: (255) (22) 2200037
E-mail: dg@nssf.or.tz



© 2017 National Social Security Fund
 
Mizengwe bado ipo, ukienda unapewa fomu unajaza na unapewa barua ya kufungua madai kisha unaambiwa utapigiwa simu uende kwa ajili ya kujaza fomu za madai usubiri kupigiwa tena simu ukachukue cheque
 
Back
Top Bottom