mabush star
Member
- Feb 5, 2012
- 13
- 0
Lakini hiyo sheria hatujaiona mi nawewe, inawezekana inatoa mwanya wa kupata japo kidogo au kuna kakifungu kanako bariki mtu kupewa kitu kidogo siyo unafukuzwa ndo basi kabisa!!
Mgomo au maandamano tutakula hasara zaidi, cha kufanya nikutafuta sahihi milioni moja tuikatae hii sheria ifanyiwe amendment au ifutwe! wanaacha kutunga sheria za kunyonga wahujumu uchumi wanaanza kutunyonga taratibu ili wao waendeleee kuishi vizuri. Plan B: Ni kufungua kesi mahakamani dhidi ya serikali naimani itakuwa ni ya aina yake na tutashinda kwa wingi wetu!! sijui ni kwa nini viongozi wa wafanya kazi hawasemi kitu hadi sasa.Tuache kulalamika sana wakuu. Nadhani tujadiliane la kufanya. Mi nadhani uandaliwe mgomo na maandamano yasiyo na kikomo. Hakuna sababu ya kuendelea kulaani kwani hata shetani anajua huu ni upuuzi bana.
Mgomo au maandamano tutakula hasara zaidi, cha kufanya nikutafuta sahihi milioni moja tuikatae hii sheria ifanyiwe amendment au ifutwe! wanaacha kutunga sheria za kunyonga wahujumu uchumi wanaanza kutunyonga taratibu ili wao waendeleee kuishi vizuri. Plan B: Ni kufungua kesi mahakamani dhidi ya serikali naimani itakuwa ni ya aina yake na tutashinda kwa wingi wetu!! sijui ni kwa nini viongozi wa wafanya kazi hawasemi kitu hadi sasa.
kweli mi nimekwazika tena sana, nasamahani kwa kutukana nssf na ccm nyote ni masaburi, mimi ninaanza kampeni za sacos za ofc kuweka pesa zake bila kuweka kwenye, yani na maliziaa kwa kusema ivi nyote mliopitisha sheria hii mfe mmeweka vidole mikunduni mwenu, anina
Ndugu Sheria haikuruhusu kuchukua hata senti moja hadi utimize hiyo miaka na endapo utaitimiza ukiwa kaburini basi imekula kwako faida kwa magamba ziwasaidie katika kupitisha bajeti za serikali.
Huu ni wizi wa hadharani, tusilifumbie macho janja hii ya kutudhurumu pesa yetu. Jambo hili halina faida yoyote kwa mfanyakazi zaidi ya kuwekewa maisha magumu hapa baadaye endapo ukiacha kazi leo una miaka 25, basi usubiri miaka 30 ijayo ndipo ukajaze fomu.
Umeshakufa tayari. Nani mwenye mkataba na Mungu wa kufikia hiyo miaka. Eti wanatuwekea zitusaidie uzeeni. Ptyuuuuuuuuuu!!!!!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!