Hapo tu ndiyo hata mie naweza kubadili research topic yangu nifanye tafiti za kutengeneza makombora ya masafa marefu na mafupi! Lol, naanza kuona jinsi gani nchi huwa zinalipuka na watu kuanza kuuana!! Kwa hili bora tuanze moja wote!!Jamani tuache hata kufa tu, kampuni nyingi za private zinafanya kazi kwa muda fulani mfano kama miaka 15, 20 n.k. Kwa hiyo wanachosema mafisadi ni kwamba ukiachishwa kisa muda wa kampuni umeisha au umefukuzwa au umeacha kwa hiari basi uendelee kula nyasi weeeeeeeeeeee hadi 55-60. Nakwambia tutapigana, hili haliwezekani hata kidogo.
Yaan mkuu kwa hili nami niko tayari kujiunga na kikundi chochote kitakachoonekana kuipinga serikali hii hata kama ni cha ugaidi!!!Hapo tu ndiyo hata mie naweza kubadili research topic yangu nifanye tafiti za kutengeneza makombora ya masafa marefu na mafupi! Lol, naanza kuona jinsi gani nchi huwa zinalipuka na watu kuanza kuuana!! Kwa hili bora tuanze moja wote!!
Hakuna cha kushangaza kuhusu Serikali hii hii DHAIFU katika kuwadhulumu Watanzania haki zao.
Lakini hiyo sheria hatujaiona mi nawewe, inawezekana inatoa mwanya wa kupata japo kidogo au kuna kakifungu kanako bariki mtu kupewa kitu kidogo siyo unafukuzwa ndo basi kabisa!!Yaan mkuu kwa hili nami niko tayari kujiunga na kikundi chochote kitakachoonekana kuipinga serikali hii hata kama ni cha ugaidi!!!
Ugaidi wanaotufanyia umetosha,nasi tunapaswa kureact juu ya ugaidi huo!!Hakuna serikali hapo ni wizi,unyanyasaji na ufisadi mtupu!!! NAJUTA KUWA MTANZANIA,nisome kwa shida,ajira hakuna ukipata japo ya mkataba pesa unadhulumiwa eti ni peshen utapata miaka 30 ijayo!!NIMECHOKA NA SERIKALI HII?!!??
Hakuna cha kushangaza kuhusu Serikali hii hii DHAIFU katika kuwadhulumu Watanzania haki zao.
Yaan mkuu kwa hili nami niko tayari kujiunga na kikundi chochote kitakachoonekana kuipinga serikali hii hata kama ni cha ugaidi!!!
Ugaidi wanaotufanyia umetosha,nasi tunapaswa kureact juu ya ugaidi huo!!Hakuna serikali hapo ni wizi,unyanyasaji na ufisadi mtupu!!! NAJUTA KUWA MTANZANIA,nisome kwa shida,ajira hakuna ukipata japo ya mkataba pesa unadhulumiwa eti ni peshen utapata miaka 30 ijayo!!NIMECHOKA NA SERIKALI HII?!!??
Wabunge wenu wamepitisha sheria hiyo mara moja kwa vile wao chao wanakamata kila baada ya miaka 5
I begg to differ......sisi wananchi wa tanzania na hasa wafanyakazi(wanachama wa mifuko hii) ndio dhaifu tena saaana,...yaani toka wametoa hii notice hii ya kibabe na kipuuzi na kimadharau,...sijasikia sehemu yoyote watu walikopinga kwa vitendo eg,..kwa maandamano,mahakamani or the like_zaidi ya kulalama kwenye mitandao na vijiweni.
Ni lazima mkuu,sehemu nyingi wanaikata automatically yaan huwezipata mshahara kabla hawajachukua chao.Hata kama hujawa member husema et wanaiweka kwenye mfuko maalumu ukishakamilisha kujaza form za uanachama ndo huzewekw kwenye account yako.hivi ni lazima kuchangia hii mifuko ya kikwete na genge lake?