Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Mkuu SafariNi baada ya kubandika tangazo rasmi la kusitisha malipo ya ''mafao''.
Wanachama waliokuwa hawana taarifa na wamekuja kuchukua malipo yao wamekuwa mbogo ile mbaya.
Nilikuwa napita na hamsini zangu nikakutana na hizi mia!!
Ni baada ya kubandika tangazo rasmi la kusitisha malipo ya ''mafao''.
Wanachama waliokuwa hawana taarifa na wamekuja kuchukua malipo yao wamekuwa mbogo ile mbaya.
Nilikuwa napita na hamsini zangu nikakutana na hizi mia!!
Mkuu Safari
Mbona leo unaonekana kuwa na mawazo mengi?
Ni wapi unapoongelea? ...habari yako iko kimkatokmato!
atakuwa ni yeye maana hii kitu inachanganya sana, pata picha uliacha kazi miezi mitano iliyopita hivyo unahesabu siku tu upate chako leo unaambiwa hunachako mpaka ufikishe miaka 60 wakati huo wewe una miaka 30..unaweza usirudi nyumbani
hawa jamaa ni wapuuzi sana, mi nadhani sasa serikali ituambie sisi wenyewe tuamue kukatwa kwenye mifuko ya jamii au tuweke hela zetu wenyewe kwenye VIBUBU, huu ni wizi kutuibia hela zetu kwenda kujengea magorofa.atakuwa ni yeye maana hii kitu inachanganya sana, pata picha uliacha kazi miezi mitano iliyopita hivyo unahesabu siku tu upate chako leo unaambiwa hunachako mpaka ufikishe miaka 60 wakati huo wewe una miaka 30..unaweza usirudi nyumbani
Tuambie ni wapi huko maana wengine jana tumehudumiwa kama kawaida hapa twali la NSSF Geita, na wanatuambia kuwa hawana taarifa yoyote wanasikia tu na wao magazetini.
Hii si sawa kwa kweli, hivi na hizi ajali za boti, mabasi, treni si tutakufa kabla ya kufika maika 55, hapo itakuwaje hata warithi wetu inamaana watasubiri mpaka tufike miaka hiyo tukiwa kaburini?