NSSF inaweza kupoteza Tsh 50 bilioni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NSSF inaweza kupoteza Tsh 50 bilioni...

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Mutambukamalogo, Apr 15, 2011.

 1. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa report ya mkaguzi mkuu wa serikali,NSSF inaweza kupoteza zaidi ya Tshs 50 bilioni katika baadhh ya miradi inayotaka kuwekeza ambayo inaonekana ni hatarishi(Risky Investments). Miradi hiyo ni pamoja na Kiwira Coal and Power limitd. Tukumbuke pesa hizi zinatokana na makato ya wafanyakazi kwa minajili ya kuwasaidia wakati wa kustaafu.Source: The Citizen Friday ,15 April 2011- Editorial and Opinion.
   
 2. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yote yawekana lakini
  kama wako na long plani sidhani kama wanaweza kupoteza mifyeza yoote hiyo
   
 3. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Haya mashirika ya pensheni NSSF, PPF n.k yapo kwa ajiri ya kusaidia wafanya kazi wanaochanga hela zao ili baadae ziwasaidie lakini kilichopo haya mashirika yanakopesha hela watu ambao hata siyo members wake, yanatoa hela kusaidia vyama vya siasa kisiri (ccm), yanatoa hela kwa serikali, yaweka vipau mbele kwenye miradi mbali mbali ambayo viongozi wake wanapata kemisheni ya 10%.
  Lakini inasikitisha sana kuona mtu kulipwa haki yake akistaafu anasumbuliwa sana na bado inachukua muda, mtu akistafu kabla ya muda wake kama miaka 55 anambiwa inabidi asubiri miaka ya kustaafu 60 kupata pensheni,
  halafu unakuta mtu kachangui miaka labda 25, lakini anapokuja kulipwa hela apewi hata interest wakati hizo hela zimezalisha mamilioni through investments.
  Nafikkiri kuna haja kubwa sana ya kurekebisha haya mashirika yawe ya wale wanaochangia na siyo vinginevyo kama ilivyo sasa amabapo liukweli mfanyakazi ni kama ananyonywa tu
   
 4. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  Mambo haya ndio yanayotuletea shida...
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ngoja siku ukienda kudai mafao yako ukakuta unanyimwa ndio useme.
   
 6. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Uko Tanzania ipi?
  Hujasikia wafanyakazi wanaotaka kuandamana migodini baada ya kukosa hela yao?
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hawajaelimisha vya kutosha na wanachochewa na mapunguani wachache, wanajulikana ni kina nani. Migodini na NSSF wapi na wapi?
   
 8. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Mkuu mimi nikidhani una upeo wa kuona the fallacy in the Ammendment ya sheria yenyewe na isivyo watendea haki wafanya kazi.

  Hata utoe elimu namna gani, the Ammendment does not make sense!

  Unategemeaje nini ksma yafuatayo ni dhahiri:
  -wafanyakazi wote walipwe after retirement at 55(orabove), wakati hata life expectancy haifiki huko

  -it is NOT in thr best interest ya mfanyakazi, kwa vile kuweka hela NSSF ni sawa na kuweka uchagoni kwa
  haina interest na inaliwa na inflation

  -ni narrow minded ness kutegemea kuwa watu wote(wafanyakazi) lengo lao ni kuishi(after55) kwa kula tu
  hiyo hela na si kuinvest katika miradi midogo midogo wanayoiweza, na wanaweza kufanya hivyo wakati wana
  nguvu tu na wakiwa na umri mdogo na wanapoihitaji hela hiyo.

  Tukubali kuwa SSRA inajaribu kutatua mgogoro unaoikumba NSSF na mashirika mengine ya aina hiyo kwa an unexpected(?) low return on investment.

  Nawekea question mark hiyo unexpected low return on investment kwa vile mwendesha mashirika hayo-Serikali-imewekeza katika miradi isiyorudisha mtaji leo wala kesho.
  Sehemu nyingine uwekezaji huo ni wa kisisa zaidi kuliko matakwa ya kibiashara. Hapa tuifikirie Machinga Complex, sijui kama mradi huo haukufanyiwa feasibility study, au NSSF haina wachumi?

  Miradi mingine kama Dodoma University, ni mizuri lakini you can hardly expect a return on investment inones life time.
  All this investment, risk anabeba mfanyakazi, its unfair and unproffessional.

  Katika hili elimu inakosekana upande wa Serikali zaidi kuliko upande wowote.
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kabla sijaendelea kusoma hoja zako zingine, hapo umekosea sana:

  By Ludger Kasumuni
  The Citizen Reporter
  Dar es Salaam. Tanzanians now have higher life expectancy fixed at 58.2 years at birth than the rest of the citizens of East African Community (EAC), the 2011 Human Development Report (HDR) released by the United Nations Development Programme (UNDP) show


  Source: Tanzania


  Kwa kuwa ushalijuwa hilo, sasa badili post yako, uje kivingine.
   
 10. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Bado hujajibu mantiki nzima ya ukiukwaji wa madhumuni ya mfuko wenyewe kuwa ni kwa faida ya wafanyakazi na si vinginevyo.
  In fact hujajibu hoja.
  My points still stand.
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Badili kwanza takwimu yako kama nilivyokurekebisha huko juu, unaonesha una data za mwaka 2008, maana hata 2010 life expectancy ilikuwa ni miaka 57.4.

  Hiyo ndio ilikuwa hoja yako ya mwanzo. Rekebisha hiyo au kubali kuwa ulileta hoja isiyo ya kweli ili tuendelee. Kwanini niendelee kukujibu hoja secondary wakati primary umezuwa? FIKIRI.
   
 12. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  As a thinking man you dissapoint me , hivi wewe kwa akili yako unafikiri hicho ndio kigezo kikubwa kilichosukuma kubadili sheria ili mfanyakazi "afaidike" after 55years of age?
  Come on what shallow targets and arguments!
  Inaeleka wala hujui unachokiongelea in its totality na ni kama mfa maji anayedandia unyasi!

  Hoja yangu bado inasimama kuwa mfanyakazi anaihitaji hiyo fedha siyo akistaafu, bali wakati anihitaji.
  Dont be static.
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwanza kubali ulileta habari siyo ya kweli ili tuendelee na hoja zako zingine. Bila hivyo ni kama unampigia mbuzi gita.
   
 14. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  I now seriously doubt your level of knowledge, and thus understanding of facts and logic.
  Na kama kuna mbuzi kama wewe asiyeelewa elewa basi hafai kuwa hapo alipo.
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  First and foremost you have to apologize to the JF users for trying to feed us wrong national data. If you can not apologize at least acknowledge you were wrong or whom ever fed you that figure was as wrong as you are.

  By the way, Did you learn that from your teacher?
   
 16. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  You sound like a suit claded nicompoop polishing office chairs for no good reason.
  The less people of your kind in high places the better for CCM
   
 17. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Bwana mukubwa nondo ulizopigwa hujazitete ha moja. Na je kama ni kweli life expectancy ni zaidi ya miaka 57.
  Mfanya kazi yuko better off?
  Uhalali wa sheria ni kwanifaisha wananchi na si vinginevyo.
  Ukubali usikubali hapa serikali ilichemsha kuchezea kipato cha wafanyakazi.
  Mbaya zaidi wewe unasema wafanyakazi migodini wanachochewa!
  Wafanyakazi si wajinga kiasi mnachofikiri.

  Kweli aliyeshiba hamkui mwenye njaa!
   
 18. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #18
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu Lole Gwakisa afadhali umenisaidia kumjibu jamaa anapenda ligi ya ubishi nadhani ana PhD ya ubishi kutoka Morogoro Islamic University.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Huyu bwana ana abasic problem ya understanding issues na logical presentation.
  Pamoja na unazi wa aidha chama au serikali kutetea makosa kidogo inampunguzia hadhi kama mtu mwenye uwezo wa kufikiri.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #20
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu linapokuja suala la takwimu, magazeti mengi ya Tz sio credible source. Bila shaka serikali ina kitengo cha takwimu ambacho ningetegemea kiwe ndo kigezo.Ukumbuke miaka ya katikati mwa 2000 tuliambiwa kutokana na UKIMWI life expectancy was drastically reduced to 42yrs! Sijui hapo napo ikiwekwa gazetini kukanukuu tutaamini lipi? Kimsingi hoja kubwa sio life expectancy hoja kuu ni logic ya kusema wafanyakazi wote wasichukue mafao yao hadi wafikie umri huo, bila kufahamu kuwa tunawafanyakazi wa mkataba miaka miwili au mitatu na mkataba ukiishi unaweza kukaa miaka sita kabla hujapata kazi kwingine. Wewe utakuwa unakula wapi? Basi sheria hiyo iweke provision ya mikopo (make kina Manji wamekopa ambao sio wachangiaji wala wamiliki wa mifuko hiyo...why wafanyakazi wasikopeshwe). Na mifuko imhakikishie mchangiaji kula, kulala kusomesha watoto na huduma nyingine mujimu kipindi chote ambacho hana kazi. Suala jingine kuhusu wafanyakazi mgodini....nadhani hukufahamu! Wanalipa! Kimsingi sheria inakutaka hata msaidizi wa kazi nyumbani (house boy/girl) walipiwe kodi na hata mfanyakazi wa shamba alipiwe kodi!
   
Loading...