NSSF inaweza kupoteza Tsh 50 bilioni

Kuna tofauti kubwa kati ya benki na Mfuko wa Hifadhi.Wakati ambapo benki ni sehemu ambapo watu binafsi au taasisi/kampuni wanatunza fedha au kwa maneno rahisi wanafanya baishara ya fedha, Mifuko ni bima ambapo mwanachama wake akipata janga (contingency) anapata mafao kulingana na janga alilopata bila kujali kiasi cha michango aliyochanga. Ndio maana serikali inaelimisha kutaka raia wasijitoe uanachama wakiwa bado wana nguvu za kufanyakazi. Michango inayochukuliwa na Mifuko hii ni asilimia 10 tu na asilimia 90 zinazobaki anaachiwa mfanyakazi kama mshahara. Ni kiroja 10% uitegemee kujenga nyumba au kufanya biashara ilihali uluachiwa 90% hukufanya.Mafao wakati wa uzee au ulumavu ni muhimu sana.
Mkuu you are arguing like a layman,na kama ni mchumi wa NSSF basi no wonder wafanyakazi wako dissapointed na utendaji wenu.
Comparison ya ONLY 10% ya mfanyakazi as against 90% ANAYOACHIWA ni upofu kwa upande wako. Unasahau kuwa 100% ya mshahara ni haki ya mfanyakazi na si shirika lolote la hifadhi ya jamii.
Unashindwa kuelewa kuwa uhalali wa NSSF na mashirika mengine ni sheria TU, amasivyo kibiashara yasingekuwepo.

It is unfortunate kuwa mashirika haya ya hifadhi ya jamii yamejiingiza katika biashara ambayohayana uzoefu nayo wala hawana upeo wa kusimamia.

Sababu unazotoa za kuhudumia wafanyakazi ni ndoto tu , na wale mnaowahudumia sidhani kama wanafikia hata 10% ya wafanyakazi wote wanaochangia.

Kwa vigezo vya kibiashara you flop, na kama nia ni kuwahudumia wafanyakazi kwa nini msilime na mapato yske yawahudumie kwa hizo dharura?
Ukweli uko wazi kuwa investmenta za mashirika haya hazirudishi mtaji na riba ili kuwalipa wafanyakazi wanaodai mfao yao.

Hence sheria hizi zisizo na mbele wala nyuma.
 
Back
Top Bottom