Hawajaelimisha vya kutosha na wanachochewa na mapunguani wachache, wanajulikana ni kina nani. Migodini na NSSF wapi na wapi?
Mkuu mimi nikidhani una upeo wa kuona the fallacy in the Ammendment ya sheria yenyewe na isivyo watendea haki wafanya kazi.
Hata utoe elimu namna gani, the Ammendment does not make sense!
Unategemeaje nini ksma yafuatayo ni dhahiri:
-wafanyakazi wote walipwe after retirement at 55(orabove), wakati hata life expectancy haifiki huko
-it is NOT in thr best interest ya mfanyakazi, kwa vile kuweka hela NSSF ni sawa na kuweka uchagoni kwa
haina interest na inaliwa na inflation
-ni narrow minded ness kutegemea kuwa watu wote(wafanyakazi) lengo lao ni kuishi(after55) kwa kula tu
hiyo hela na si kuinvest katika miradi midogo midogo wanayoiweza, na wanaweza kufanya hivyo wakati wana
nguvu tu na wakiwa na umri mdogo na wanapoihitaji hela hiyo.
Tukubali kuwa SSRA inajaribu kutatua mgogoro unaoikumba NSSF na mashirika mengine ya aina hiyo kwa an unexpected(?) low return on investment.
Nawekea question mark hiyo unexpected low return on investment kwa vile mwendesha mashirika hayo-Serikali-imewekeza katika miradi isiyorudisha mtaji leo wala kesho.
Sehemu nyingine uwekezaji huo ni wa kisisa zaidi kuliko matakwa ya kibiashara. Hapa tuifikirie Machinga Complex, sijui kama mradi huo haukufanyiwa feasibility study, au NSSF haina wachumi?
Miradi mingine kama Dodoma University, ni mizuri lakini you can hardly expect a return on investment inones life time.
All this investment, risk anabeba mfanyakazi, its unfair and unproffessional.
Katika hili elimu inakosekana upande wa Serikali zaidi kuliko upande wowote.