NSA accused hacking Huawei

NSA accused hacking Huawei

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
2,262
Reaction score
856
Wakubwa hawa hawajaishia ku-snoop government na corporate company za magharibi, wamefika uchina.wametoboa servers za Huawei lengo likiwa ni kupata taarifa za People Liberation Army,Iran,Afghanistan,Kenya,Cuba n.k

Mkurugenzi wa China Institute of Security anasema uwezo wa NSA ni zaidi ya imagination.Wamarekani kupitia Kamati ya seneti baada ys kuwahoji wakuu wa usalama na kampuni ya Huawei wametupilia mbali madai hayo kwani yamekosa udhahidi

Note; NSA ni taasisi ya kijasusi inayo deal na usalama kupitia mawasiliano

Source:ccTV news-China 24
 
Back
Top Bottom