dunia imejaa unafik sn mkuuHapana this time dunia inawamulika mpaka uvunguni
Kwasasa katiba itapatikana?Niliwaambia watu kuw samia akiendelea na kugombea uraisi 2025 atamwaga damu nyingi sana ya watanganyika atafanya mauaji ya kimbari na niliwaambia watu wanaomshabikia kuwa analeta katiba mpya niliwaambia kuwa ilikuwa rahisi kupata katiba mpya chini ya JPM KULIKO SAMIA WATU HAPA WAKANITUKANA NA CHADEMA PIA WAKIMSIFU SA100
Hakuna katiba wala uchaguzi tena tz kwa miaka 10 ijayo labda samia adondoshwe asifikishe 2030Kwasasa katiba itapatikana?
mi naona itapatikana , swali ni moja je itakua na vitu vinavyolalamiiwa?Hakuna katiba wala uchaguzi tena tz kwa miaka 10 ijayo labda samia adondoshwe asifikishe 2030