"The kidnap of an angel" written by Peter Iwoba Oguda
Ni stori ya tajiri alioa mke wake mzuri akampenda sana, hakujua kama yule mwanamke ana pacha wake wanafanana kinoma. Yule mke wa tajiri alipenda pesa hakumpenda yule tajiri, yule mama akawa na bf mwengine nje ya ndoa. Akaandaa mazingira akamuwezesha yule bf wake wakawekeza sana.Alichofanya yule mama aka plot akamuua TWIN wake wakamtegea ule mwili kwa yule tajiri. Yule mama akaenda kuishi na jamaa yake wa nje wakawa wanatumbua maisha. Aliyegundua mchezo ni mwandishi wa habari ambaye alikuwa curious kufahamu mambo fulani fulani.
bado namkumbuka UNONO kwenye DAR-ES-SALAAM USIKU ya Ben Mtobwa,mfupi hivi,mweusi kama mkaa,jumlisha ile rangi inayotokana na uchafu wake,nyonyo kuuuubwa na ndeeefu kweli iliyokosa ushirikano thabiti na kifua chake,tumbo lililotokeza sana kwa mbele,halafu kwa huku nyuma akapewa 'bidhaa'iliyomtosha kukalia TU na sio vingine vyovyote.........daah,Beny alikuwa noma!
pia urembo maridhawa wa Hawa,binti aliekuja kuuawa kikatili mno(hadi nikawa naogopa kusogeza hata mguu pale nilipo!-kwenye Dar usiku)na limjamaa katili kuliko shetani mwenyewe(Proper)!-Tutarudi na Roho zetu,Njama,Kikosi cha Kisasi,EWUDU(hii ya cameroun),EFURU.......ya Cyprian Ekwensi.mama angu anisamehe kwa kuhamishia kabati lake la vitabu chumbani kwangu na baadae kuviharibu vyote!!
Na hizi.
Don't mess with An Angel.
Timeless.
Shades of Sin.
Mar'imar'.
The Queen of the Jungle.
Uncle JJ
Devil Kingdom.
Deception.
The Shock.
Lovely Gamble.
This is It.