Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

Novel gani ilikuvutia enzi uko secondary?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,449
Reaction score
9,744
kuna list kibao ya novels za kiswahili na kiingereza zilipendwa enzi hizo za secondary, me binafsi naikubali sana Kiu ya Haki ya akina Mzee Toboa Mambo, iliyoandikwa na Zainab Mwanga, halafu ya kiingereza niliipenda sana Is it Possible ya akina Lerionka na wenzake.
Hebu na wewe tutajie za kwako!
 
The Notebook na Catch me if you Can.
Pia ile ya I'll marry when I want.
 
Na hizi.
Don't mess with An Angel.
Timeless.
Shades of Sin.
Mar'imar'.
The Queen of the Jungle.
Uncle JJ
Devil Kingdom.
Deception.
The Shock.
Lovely Gamble.
This is It.
 
Na hizi.
Don't mess with An Angel.
Timeless.
Shades of Sin.
Mar'imar'.
The Queen of the Jungle.
Uncle JJ
Devil Kingdom.
Deception.
The Shock.
Lovely Gamble.
This is It.

sio kosa lako
 
  • Thanks
Reactions: Kbd
Za skuli? Hapana hazikutuvutia kabisa, hao kina chinua Achebe na wenzake kama Ngungi wa Thiong'o tulikuwa tunawapitia kwa sababu ya Marks za darasani. Lakini bila ya kusoma zile za James Hardley Chase basi wewe ulionekana siyo Mkali. Kwa kwa za kibongo nilipenda sana ile ya "Kitanda cha Mauti" ya Kajubi Mukajanga kama sikosei,na zote tatu za Mzee Musiba (RIP) muhusika wake mkuu akiwa ni Willy Gamba. Kuna za mtu anaitwa Agatha Christie hizo nazo nilizipitia sana!!
 
Back
Top Bottom