Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,277
- 35,633
Bongo ni kusomea mitihani tu
.....kuna ukweli fulani katika ulichoandika. Unashangaa mhitimu wa shahada hajawahi kujinunulia kitabu ajisomee anabaki kuhangaika na "notes" na ufundishaji wa baadhi ya maprofesa hauhamasishi mwanafunzi kuyasaka maarifa kupitia machapisho tofauti.
Hudhuria angalau 80% ya vipindi, tenga muda wa kukaa maktaba jisomee, DS na most humanities ni kuhusu kijisomea na kuangalia documentaries. Utapata maarifa zaidi