habarini wakubwa kwa wadogo, nilikua naomba mwenye softcopy za notes na past papers za DEVELOPMENT STUDIES 1 na LINEAR ALGEBRA 1, m nipo 1st year apo udsm, msaada wakuu, ahsanteni.
ahsante kwa ushauri, registration tayari kila kitu, ila kuna masomo ambayo ni common kwa kila course na haiitaji ad ufundishwe km development studies na huwa haibadiliki kivile.
eeeeeh bro umetokea wapi??? kwani kuna mtu kaomba kufundishwa tuition apa????? unajiona kipanga eti msikilize lecturer af zama library.. nikwambie tu ukweli ata ww library mara ya mwisho kuingia mwaka jana.
Acha ubwege! Chuo hamna tuition wala remidial na wala usirudie au kujaribu kuomba hata notes za wengine msikilize lecturer wako chukua notes zake fuatilia handout na courseoutline halafu zama library!!!
habarini wakubwa kwa wadogo, nilikua naomba mwenye softcopy za notes na past papers za DEVELOPMENT STUDIES 1 na LINEAR ALGEBRA 1, m nipo 1st year apo udsm, msaada wakuu, ahsanteni.
Khantwe, this is unfair...Umemaliza registration mtoto mzuri? Past papers hata assignment hujafanya? Af subiri ufubdishwe kwanza maswali huwa yanatoka kwenye kile alichofundisha mwalimu sio kwenye past papers
mbona dada yangu khantwe kanieleza kistaarabu na nimemuelewa na sijamjibu vibaya zaidi ya kumtania tu km mdogo wake, tatizo j.f kila mtu anajiona anajua sana basi m najua zaidi.
Khantwe, this is unfair...
eeeeeh bro umetokea wapi??? kwani kuna mtu kaomba kufundishwa tuition apa????? unajiona kipanga eti msikilize lecturer af zama library.. nikwambie tu ukweli ata ww library mara ya mwisho kuingia mwaka jana.
HAHAHAHA kubadilika inabadilika lakini mara chache sana kwa masomo ya common km D.S......naelewa kuliko unavodhani ndugu yangu.
Khantwe, this is unfair...