kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,698
- 1,941
Wakuu wenye uwelewa wa material ya THL anieleweshe juzi nimetumia saiv naambiwa nilipe account expired. Inakuaje wakat natumia online bando langu linaisha?
Jinsi ya kulipiaWakuu wenye uwelewa wa material ya THL anieleweshe juzi nimetumia saiv naambiwa nilipe account expired. Inakuaje wakat natumia online bando langu linaisha?
Asante kwa ujumbe Dah nilijua bule mkuuJinsi ya kulipia
----------------
Angalia hapo mbele kwenye tHL app kuna mahali pameandikwa Jinsi ya kulipia bonyeza mpesa, tigopesa au airtel money. Ukibonyeza mtandao mmojawapo utaona step by step namna ya kulipia. Baada ya hapo unalipia 2000/= kwa mwezi, 5000/= kwa miezi 3, 7000/= kwa miezi 6 na 12,000/= kwa mwaka.
Maelekezo zaidi
---------------
Contacts Office: 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038 - Upewe maelekezo
Asante mkuu Ubarikiwe SanaZinalipiwa izo kwa mwezi buku2, kadiri unavyolipia miezi mingi Kwa pamoja ndo unapata discount. My take ingia tena usome maelekezo vizur utaelewa. ahsante