NOTES ZA GENERAL CHEMISTRY ZA NGAIZA

NOTES ZA GENERAL CHEMISTRY ZA NGAIZA

Loockman

Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
73
Reaction score
17
Mwenye notes au soft copy au anaye pajua sehemu zinzo uzwa kitabu cha general chemistry cha ngaiza kwa morogoro maana nimeenda kwenye page yao ya facebook nimewatumia message hawanijibu. Naombeni mnisaidie kati ya hivyo kama utakuwa unakitabu chake au soft copy yake su kama unakujua wapi naweza kupata kwa morogoro( ukiweka na bei itakuwa poa zaidi). Asante sana na samahani kwa kiswahili kibovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom