Mwenye notes au soft copy au anaye pajua sehemu zinzo uzwa kitabu cha general chemistry cha ngaiza kwa morogoro maana nimeenda kwenye page yao ya facebook nimewatumia message hawanijibu. Naombeni mnisaidie kati ya hivyo kama utakuwa unakitabu chake au soft copy yake au kama unakujua wapi naweza kupata kwa morogoro ( ukiweka na bei itakuwa poa zaidi). Au mkinisaidia namba zao Asante sana na samahani kwa kiswahili kibovu