Not married yet? Soma hapa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,826
730,269
1465027547457.jpg
 
Kitwanga kikimuisha ndo atajua aliye juu usimngoje chini, mfuate huko huko juu....
 
Mie huwa nashangaa sana sijui kwa nini mnabadilishana/kurithishana?
 
Yaani mke wangu mtarajiwa saa hizi yuko na mtu anamgalagaza?!!!! Bado nipo nipo sana

Acha wivuu. ....
Wee uko na nani saa hii na unamfanya nini......

Ngoma droo kubaliana na matokeo tuu.

Kasie mie singeli daima dumu.
 
Iundwe sheria.. kuwe na ndoa za barabarani... mkionekana mnashikana shikana... mnatokea guest... mnakaribiana kimahaba... hapo hapo ni ndoa... sherehe mtajijua wenyewe...
Hahahaha!! Sasa hizi zitakua ndoa za minyororo alizoimba Badibakule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom