yarumba Msuya
Member
- Oct 21, 2016
- 24
- 9
Dah tulipewa mkopo awamu ya kwanza na tuka sign hadi boom
lakini cha ajabu mambo yamebadilika saiv loan status inaandika "not allocated loan in the first bach" na tumeondoshewa mkopo wote
Sasa sijui HESLB wana mpango gani na sisi
Inauma sana zaidi ya sana
Wengine tuna mzazi mmoja ambae ni mama wa nyumbani asiye na kazi maalumu Sasa sijui tutasomaje