Jackson94
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 505
- 600
Mpangilio wa saruji unaojenga dirisha pana la mgahawa huo litakuwa la mita za mraba 36 na unajengwa ili kuwa sehemu ya mazingira ya baharini huku vyakula vyake vikuu vikiwa vya baharini (seafood).
Mgahawa huo utaitwa ‘Under’ na umedizainiwa na kampuni kubwa ya ujenzi nchini Norway ijulikanayo kama Snohetta.
Chanzo :- MUUNGWANA BLOG