North Korea yalaani jaribio la Marekani, yasema ni matayarisho ya vita vya nuclear

Nikimwangalia kiduku na umr wake na mambo anayoyafanya nakonda nakujiona fala kabsa,
Kama kweli Wa 83, maana tunalingana, ila gap la akil alonipiga mungu anajua sisi watu weusi alituwekea akili maalum kwa matumizi gan!
unavunja mbavu zangu wa 83 anamzidi akili wa 60 Afrika
 
Sababu ya Marekani kunua Alaska enzi zile ni kwa sababu ya kujilinda dhidi ya Usssr na washirki wake wakiwepo china na North Korea.
Wamarekani siku zote wanaona mbali sana,si watu wa sport-sport
Hakuna ukweli, ndugu. Wakati waliponunua Marekani walitaka kuondoa nchi ya Ulaya katika Bara Amerika, China ilikuwa duni kabisa wakati ule na hapakuwa na Korea Kaskazini wala USSR
 
Bora ndugu unanisaidia kufikiri kama mm,
Mm huwa najiuliza nakosa mjibu, wetu weusi mungu alichanganya material gani mpaka sikawa nzito kiasi hicho,
Hata miarabu mijingajinga tu imetuzdi ubunifu, hiv tuliumbwaje et? Au tuanzishe mradi Wa kutwangana makonzi kuchemsha akili!!!
Mbavu zangu jamani..!!!
 
Sababu ya Marekani kunua Alaska enzi zile ni kwa sababu ya kujilinda dhidi ya Usssr na washirki wake wakiwepo china na North Korea.
Wamarekani siku zote wanaona mbali sana,si watu wa sport-sport
Wenzetu huwa wana Long plans, wanawaza mbali hawana myopic ideas kama sisi.

Embu imagine leo hii Alaska ingekua ya Russia, si pangkua hapakaliki.
 
Kuna post ililetwa hapa kwamba Warusi waliuza hiyo Alaska...!!!!
 
Sababu ya Marekani kunua Alaska enzi zile ni kwa sababu ya kujilinda dhidi ya Usssr na washirki wake wakiwepo china na North Korea.
Wamarekani siku zote wanaona mbali sana,si watu wa sport-sport
Nahisi Russia wanajuta hii kitu had leo maaana ukiexchange hyo ela waliyouzia kipnd hcho kwa sasa ni kama $113Million bei ambayo ni chini hata ya bei ya S400 moja.
 
Yah ilishawah kuletwa, ila sidhan kama ni jukwaa hili...Nahis ilkua Jamii intelligence
Yes na kuuzwa kulielezwa kwa kina tu na hii yote ni baada ya kuwa hoe hae kiuchumi na kijeshi hivyo hawakuwa tayari kuona wananyang'anywa hilo koloni na Uingereza na ndio maana wakaamua kuuza kuliko kuporwa kijeshi na Britain..!!!!
 
Mmmh kumbe,sikuwah jua hilo kama walikuaa wanaogopa kuporwa na Uingereza.
 
Nikimwangalia kiduku na umr wake na mambo anayoyafanya nakonda nakujiona fala kabsa,
Kama kweli Wa 83, maana tunalingana, ila gap la akil alonipiga mungu anajua. sisi watu weusi sijui alituwekea akili maalum kwa matumizi gan et!
Bora ndugu unanisaidia kufikiri kama mm,
Mm huwa najiuliza nakosa mjibu, wetu weusi mungu alichanganya material gani mpaka sikawa nzito kiasi hicho,
Hata miarabu mijingajinga tu imetuzdi ubunifu, hiv tuliumbwaje et? Au tuanzishe mradi Wa kutwangana makonzi kuchemsha akili!!!

Eti mradi!,...:D:D:D:D:D
 
Mmmh kumbe,sikuwah jua hilo kama walikuaa wanaogopa kuporwa na Uingereza.
Yap tena ilikuwa ni kipindi cha vita nafikiri ni vya mashariki ya kati ambao wawili walijiingiza katika hiyo vita kila mmoja kwa upande aliokuwa nao ndipo hapo ikapelekea Russia kutokuwa vizuri kijeshi na kiuchumi na kwa kipindi hicho Britain walipanga wakitoka kule wanahamia Alaska kuchukua lile koloni ndipo hapo Russia akakimbilia kuliuza kwa bei ya kutupa. Na kwa kipindi hicho Russia na Marekani Walikuwa na mahusiano mazuri tu si kama ilivyo sasa...!!!!
 
Duh... Asante mkuu... Sikuwah jua hii kitu...
 
Nikimwangalia kiduku na umr wake na mambo anayoyafanya nakonda nakujiona fala kabsa,
Kama kweli Wa 83, maana tunalingana, ila gap la akil alonipiga mungu anajua. sisi watu weusi sijui alituwekea akili maalum kwa matumizi gan et!
Kuna kuwa na akili na kuwa Tulsa
Wewe unafursa?
 
Mkuu tafuta post hii KOSA LA KIHISTORIA WALILOFANYA URUSI NA KUWAPA NAFASI US kukutag nimeshindwa mkuu
 
Back
Top Bottom